Dena Amsi na Mr Rocky

Mkuu....unataka rushwa hata kwa ndugu yako damu damu?
Maza akisikia atasikitika sana....

Ahhhh undugu wa nyanya kapuni bana we ukienda kufaidi mimi nitakuwa nimefaidika nini aise
Ndo maana nataka tumalizane hapa hapa
 
Mr Rocky... Vin Diesel hana hela za msimu kweli? Maana me sipendagi shida, si unanijua mwenyewe!
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky... Vin Diesel hana hela za msimu kweli? Maana me sipendagi shida, si unanijua mwenyewe!

Hela yake sio ya msimu bana ni hela ya kumwagika maisha yake yote na nakuhakikishia Lady doctor hutajuta kuwa na Vin Diesel
Hiyo ya rushwa bana ni kwa ajili ya kusurf net si unajua hapa natumia pesa lazima anilipe bana sio rushwa ya kukupigia debe
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha Mamndenyi sasa naona hasira za kuachwa unazo sana
Tuachane na hayo bana haya ni maisha kwenye ndoa jua kuna kudumu na kuachwa yako ilidumu kwa muda mfupi sana
 
Last edited by a moderator:
Hela yake sio ya msimu bana ni hela ya kumwagika maisha yake yote na nakuhakikishia Lady doctor hutajuta kuwa na Vin Diesel
Hiyo ya rushwa bana ni kwa ajili ya kusurf net si unajua hapa natumia pesa lazima anilipe bana sio rushwa ya kukupigia debe

ngoja nimtest kama ataweza kushika pembe asije akaning'inia kama Slave
 
Last edited by a moderator:
Hela yake sio ya msimu bana ni hela ya kumwagika maisha yake yote na nakuhakikishia Lady doctor hutajuta kuwa na Vin Diesel
Hiyo ya rushwa bana ni kwa ajili ya kusurf net si unajua hapa natumia pesa lazima anilipe bana sio rushwa ya kukupigia debe

Asee kifurushi si tuliweka cha unlimited mwaka mzima....au ukisema kusurf net wamaanisha jambo lingine
 
hahahaa.... Basi nitajie na vile vitabia vyake vya chini ya kapet.

Wakati wa ujana wake akiwa anafikia ujana alikuwa penda penda ila kwa sasa ametulia mbaya yaani akiwa kwenye ndoa naamini itakuwa mfano hapa chit chat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…