Dena Amsi na Mr Rocky

Dena Amsi na Mr Rocky

Huwa tunapima mara tatu kwa mwaka kujihakikishia uko safi na Vin Diesel ni ndugu yangu huwa ni lazima akapime mara kwa mara

Good idea!! Vijana pimeni ngoma mara kwa mara msije mkaishia hivi;


images
 
halafu wee...!! Vin Diesel kakupa shing' ngapi? Mbona wampigia debe hivyo? Au kakushikia cha moto useme?

Sijapewa hela wala hakuna cha moto namtetea kaka yangu bana na mimi kama mdogo wake najua mienendo yake na alivyo kaka mtulivu
 
Back
Top Bottom