Dena Amsi na Mr Rocky

Dena Amsi na Mr Rocky

Hapa bora nikuambie wazi Vin Diesel anakufaa ametoka machimbo ana fweza kama tajiri Bishanga yaani yeye anamwaga tuu
Arushaone mchovu hela yake ya manati inatoka kwa budget
Slave bado kula kulala hata bei ya chumba cha kupanga hajui bado denti wa mlimani primary skuli



Unajua nikiuza moja ni sh ngapi?
Never underestimate Arushaone.
images
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhh huu mkutano una mambo mazuri kweli huu sio kumzunguka Vin Diesel kweli
Tena unaenda kukutana na Arushaone king mswati

usiwe na wasiwasi Mr Rocky... Arushaone kuna majibu ya vipimo aliyasahau jana baada ya kumpima so namuita ili aje ayachukue
 
Last edited by a moderator:
usiwe na wasiwasi Mr Rocky... Arushaone kuna majibu ya vipimo aliyasahau jana baada ya kumpima so namuita ili aje ayachukue

Mhhhh majibu ya nini tena hebu yaweke wazi hayo majibu au ni yale ya nanihiiii Arushaone unajiamini
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom