Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Baba V twamjua kwa kuharibu ndoa za watu hapa jukwaani....ninakana tuhuma zote alizonirushia....
nahitaji mashahidi wa hili swala kabla sijafika mbali
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba V twamjua kwa kuharibu ndoa za watu hapa jukwaani....ninakana tuhuma zote alizonirushia....
heee..!!!! Una ndoa?
nahitaji mashahidi wa hili swala kabla sijafika mbali
nahitaji mashahidi wa hili swala kabla sijafika mbali
Si hii ya kwako na yeye Lady doctor na Vin Diesel naona Baba V anataka kuiharibu bana kwa madraka yake
Wowowo tu
Huwa tunapima mara tatu kwa mwaka kujihakikishia uko safi na Vin Diesel ni ndugu yangu huwa ni lazima akapime mara kwa mara
ina maana nimefunga ndoa bila kujijua?
Mimi namkania Vin Diesel kwa yote aliyosema Baba V ni ya uwongo kabisa hayana ukweli
Vin Diesel hana hayo makosa aliyosema Baba V bana
Good idea!! Vijana pimeni ngoma mara kwa mara msije mkaishia hivi;
![]()
Asa wewe si ushamkubali Vin Diesel au bado unasua sua aise mbona unachukua muda sana kumkubali
Mr Rocky ananijua vyema mie ndugu yake....msikilize anachokuambia...halafu wee...!! Vin Diesel kakupa shing' ngapi? Mbona wampigia debe hivyo? Au kakushikia cha moto useme?
mbona we jana nilikuwa nataka kukupima ukakimbia?
nitamkubalije haraka bhana... Bila yeye kuonyesha vitendo?
halafu wee...!! Vin Diesel kakupa shing' ngapi? Mbona wampigia debe hivyo? Au kakushikia cha moto useme?