Dena Amsi na Mr Rocky

Naanza hapa hapa Paloma nakupenda sana binamu na nakumissije
Aaaaah hivi ulisema nikukane eehhhh
Hebu futa haraka hiyo ya juu fasta kabla hawajaona

hahahhaa unaona sasa! binamu usipate presha- upendo wetu hauna mwisho -tutakanana na tutarudishana!!!
 
hahahhaa unaona sasa! binamu usipate presha- upendo wetu hauna mwisho -tutakanana na tutarudishana!!!

Paloma si nilikuambia ufute hiyo ya juu kuna mtu aliiba pasiwedi yangu hapo ndo maana
Hujambo binamu
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi kukuacha haimaanishi usipate mwingine ila pata mwingine uishi kwa raha bana ila kwa Arushaone naona umechemsha aise maana ni king mswati wa chit chata
Slave namuona huku nae analeta majeshi yake kwako sijui nae umemuweka wapi
 
Last edited by a moderator:
naona heri hata ya Arushaone kuliko wewe mwanaume ambaye nilikupa ua jekundu
nikakuimbia tenzi za mapenzi
lakini ukaniacha kisa limbwata,
una maana kweli wewe.

Hahahahhaha hakuna cha limbwata wala mdogo wake limbwata hapa ni mapenzi tuu ya uhakika kutoka kwa Dena Amsi yamenifanya nirudi
Ulishindwa kupalilia bustani yako ukaiacha mpaka jua likakausha maua yote ndo maana nikakimbia Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
Hahahahhaha hakuna cha limbwata wala mdogo wake limbwata hapa ni mapenzi tuu ya uhakika kutoka kwa Dena Amsi yamenifanya nirudi
Ulishindwa kupalilia bustani yako ukaiacha mpaka jua likakausha maua yote ndo maana nikakimbia Mamndenyi

Haya mawasiliano yako na Mamndenyi siyapendi ujue my husband...
 
Last edited by a moderator:
haaaa unakataa kula kale kanyama
kwa hiyo ni palizi tu,
kwangu hiyo palizi yako uliyoitaka msharti yake ni magumu sana yalinishinda mimi
mimi sina tatizo endelea tu
najua nitapata wa kunibembeleza kama kawaida yangu.
Hahahahhaha hakuna cha limbwata wala mdogo wake limbwata hapa ni mapenzi tuu ya uhakika kutoka kwa Dena Amsi yamenifanya nirudi
Ulishindwa kupalilia bustani yako ukaiacha mpaka jua likakausha maua yote ndo maana nikakimbia Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…