KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,104
Afu weweee.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usimtafutie Lady doctor matatizo kwa mkeo KOKUTONA.
Vin Diesel yuko South Australia ila atakuwa Arusha tarehe 23 June.Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh.......heeeeeeeh........
Wonders will never end.. Arushaone umenionea wapi huyu Vin Diesel?
KOKUTONA habari za utokako
Habari mpya huku ni kuwa Vin Diesel ana mpango wa kufunga ndoa na Lady doctor na Erickb52 anasema ndoa yake ba wewe bado ipo na Arushaone bado anaendeleza uking mswati halafu Mamndenyi ameachwa na Mr Rocky na ndoa yake ya zamani na Dena Amsi imerudi
Slave bado ni kula kulala na manoah pia nae huwa anasubiri ugali wa shikamoo
Bishanga ana madeni kama serikali na mkewe @ the secretary naona ana mpango wa kutafuta kiserengeti boys
Evelyn Salt yupo yupo tuu baada ua Slave kumtema
Mi niko powa sana mtu wangu....naoma unachonganisha afu unapozaa
Mpiga debe bora 2013,
Na best looser 2013 ni wewe.
Kwa taarifa yako Lady doctor ni wangu.
Wewe na Vin Diesel mlie tu.
Best looser maarufu kwa nusu ya mwaka huu ni ArushaoneMpiga debe bora 2013,
Na best looser 2013 ni wewe.
Kwa taarifa yako Lady doctor ni wangu.
Wewe na Vin Diesel mlie tu.
Mkuu Kaizer wenyeviti na makamu wao wanajipendelea na kujihalalishia wao wenyewe na ndoa zao hazipiti ukaguzi wala taarifa
Hapa tunaambiwa tuu Arushaone na Lady doctor wamefunga ndoa
Wakati za kwetu mpaka usote na kuwa scrutinized mbaya na mwishowe utaambiwa na Baba V ndoa yako siikubali
Hivi nani anayepitisha ruhusa ya ndoa ya mwenyekiti maana na yeye ni binadam
Angalia taarifa hapo juu Arushaone anautangazia ulimwengu kuwa wewe ni wake sijui umefunga lini hiyo ndoa Lady doctor
Angalia taarifa hapo juu Arushaone anautangazia ulimwengu kuwa wewe ni wake sijui umefunga lini hiyo ndoa Lady doctor
Yaani tena ndoa takatifu na imebarikiwa
Chocs hebu muulize Arushaone ndoa yake na Lady doctor ina baraka za nani na je mwenyekiti Baba V ana file lake au ni zile zake za king mswati