Dena Amsi na Mr Rocky

Dena Amsi na Mr Rocky

KOKUTONA habari za utokako
Habari mpya huku ni kuwa Vin Diesel ana mpango wa kufunga ndoa na Lady doctor na Erickb52 anasema ndoa yake ba wewe bado ipo na Arushaone bado anaendeleza uking mswati halafu Mamndenyi ameachwa na Mr Rocky na ndoa yake ya zamani na Dena Amsi imerudi
Slave bado ni kula kulala na manoah pia nae huwa anasubiri ugali wa shikamoo
Bishanga ana madeni kama serikali na mkewe @ the secretary naona ana mpango wa kutafuta kiserengeti boys
Evelyn Salt yupo yupo tuu baada ua Slave kumtema
 
Last edited by a moderator:

Mpiga debe bora 2013,
Na best looser 2013 ni wewe.

Kwa taarifa yako Lady doctor ni wangu.
Wewe na Vin Diesel mlie tu.
 
NAuliza kama mkuu wa ukaguzi Asprin ana tarifa hii, na kama Baba V amekuwa consulted

Mkuu Kaizer wenyeviti na makamu wao wanajipendelea na kujihalalishia wao wenyewe na ndoa zao hazipiti ukaguzi wala taarifa
Hapa tunaambiwa tuu Arushaone na Lady doctor wamefunga ndoa
Wakati za kwetu mpaka usote na kuwa scrutinized mbaya na mwishowe utaambiwa na Baba V ndoa yako siikubali
Hivi nani anayepitisha ruhusa ya ndoa ya mwenyekiti maana na yeye ni binadam
 
hebu nikumbushe tarehe niliyofunga ndoa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom