Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
naomba niitie kaka yako
Tulia anajifurahisha wote ni wako. Utafanya ananado abaki mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba niitie kaka yako
nalesada ntwe!
Tulia anajifurahisha wote ni wako. Utafanya ananado abaki mmoja
pole sana, wangwa'ga bogota?
naomba unisaidi mwaya kuchagua aliyetulia, mwenzio nashindwa kabisa nimchague yupi
nang'waga
Chagua mwenyekiti.. Ni ushauri tu.
okopela ng'wana mayo.....pole!!!!!
Lady doctor kaka yangu Vin Diesel anahesabu dollar na paund na euro alizopata jana baada ta kufanya mauzobya tanzanite zake
Ameanza toka jana mpaka leo hajamaliza ndo maana hajaonekana humu
Akimaliza nitamwambia akutafute
Acha na wachovu Baba V na Arushaone hao hawana hata pesa ya kukupa
Mamndenyi eda haijaisha tuu toka mwaka jana
mwambie alete nimsaidie kuhesabu
naomba unisaidi mwaya kuchagua aliyetulia, mwenzio nashindwa kabisa nimchague yupi
Unampigia shemejio debe siyo. Ni bado sana eda inaendelea.Lady doctor kaka yangu Vin Diesel anahesabu dollar na paund na euro alizopata jana baada ta kufanya mauzobya tanzanite zake
Ameanza toka jana mpaka leo hajamaliza ndo maana hajaonekana humu
Akimaliza nitamwambia akutafute
Acha na wachovu Baba V na Arushaone hao hawana hata pesa ya kukupa
Mamndenyi eda haijaisha tuu toka mwaka jana
Wewe m-baba shkamoo! Leo ndo umeamini kuwa ushazeeka eeh? Waulize kina Lily Flower, Arabela Mwalimu na KOKUTONA wakwambie ulivyozeeka!!!
Ok ok hilo limezingatiwa na anapewa taarifa sasa hivi Lady doctor
Vin Diesel kuja pande hizi unatafutwa huku
Be keaful Vin Diesel ni mume halali wa KOKUTONA.