Lady doctor wewe ndio daktari wangi bhaaaas.
hahahaaa! Pole sana, we tiba yako itabidi nikubadilishie memory card ya ubongo wako, naona hiyo unayoitumia sasa imeingia virus wengi sana wa stress ambao husababisha kuzimia hadi kifo kabisaa.
hahahaaa! Pole sana, we tiba yako itabidi nikubadilishie memory card ya ubongo wako, naona hiyo unayoitumia sasa imeingia virus wengi sana wa stress ambao husababisha kuzimia hadi kifo kabisaa.
Lady doctor huyu Mamndenyi ana ugonjwa wa kupungua kwa uwezo wa kupenda na kupendwa hebu mpatie dawa muafaka aache kupewa talaka
sawa baba, sikupeleki tena kwa shansarie
Lady doctor huyu Mamndenyi ana ugonjwa wa kupungua kwa uwezo wa kupenda na kupendwa hebu mpatie dawa muafaka aache kupewa talaka
Masharti ya dokta ni magumu dah nyie shansarie na Lady doctor ngojeni kwanza nisiskass na my wife wangu Dena Amsi ndo anipe ushauri kama nije nipate tiba au nisije
Halafu kama mambo yenyewe ni kuwa unaingia thieta ukiwa mzima ila kutoka unakojotwa ni balaaa
Lady doctor wewe ndio daktari wangi bhaaaas.
sio magumu ni utaratibu wa kazzi tu.tena Lady doctor amesahau hiyo memory card lazma iwe na security code mkeo tu ndo atapewa uache biashara ya kumpa kila mtu. mwenzio kiwatengu nishamwekea hakuna anayemsogelea ufunguo nnao mm tu.
CC nimeiona ila unatia huruma kama CCM Arusha!
Mkuu Arushaone....pole...maana naona unaahidiwa ndizi unakubali, huku mgomba unakatwa....
me huwa nawatibu mpaka wanapotezaga fahamu hawa so ni vema mkewe amsindikize ila mkewe hato ingia theater, nikisha maliza kumtibu ndio namuita mkewe amsaidie mumewe kumkokota maana huwa wanakuwaga hoi bin taabani.
Asprin alikuja peke yake mpaka sasa hajazinduka nawatafuta wakeze waje wamchukue kabla sijatoa maamuzi magumu
Haya...kalale sasa dr.