Njoo uchukue ipo ya kutosha huenda tutakutana huko kusiko na kero za hawa akina mswati wa chit chat.na ya kuonja ipo pia.
Nimeacha wosia kwa babu pale Mtowisa atakushughulikia, maana umeninyang'anya tonge mdomoni.
Swt Asprin mwenyewe kesharudi kwenye ndoto zake tena!
Nitakoma wapi mkuu St. Paka Mweusi mi nisharudi kwa my wife wangu mpendwa Dena Amsi bana nyie endeeleeni na MamndenyiUtakoma mwaka huu,hii inaitwa kisichokuwa na thamani kwako,aisikie hii Mamndenyi...
Nitakoma wapi mkuu St. Paka Mweusi mi nisharudi kwa my wife wangu mpendwa Dena Amsi bana nyie endeeleeni na Mamndenyi
St. Paka Mweusi mi kwangu nilichoka bana ndo maana nikaachia ngazi mapema wewe endelea tuu ila angalia wakimbiza mwenge wenzio Katavi na Arushaone na Slave na Kaizer wako mbio sanaKaka walisema sio mimi,wewe ukisema mke gani wenzio wanamuona anapendeza.......
Eh, umenikumbusha wacha nifungue Pilsener yangu hapa...
Chocs kimya kimya basi mbona unapiga kelele kumuamsha Erickb52 mwache alale banaAlooooo...heheheee
Ni nooouma!!
Utakoma mwaka huu,hii inaitwa kisichokuwa na thamani kwako,aisikie hii Mamndenyi...
Mamndenyi unaniumiza ujue,ina maana hata mimi hujaniona.Haya bana ukinikataa najua tutakutana Kotela tu......St. Paka Mweusi
kila nikiangalia sioni kama kuna muoaji hapa
inabidi nivute muda tena
pengine baaadae anaweza kupatikana.
St. Paka Mweusi mi kwangu nilichoka bana ndo maana nikaachia ngazi mapema wewe endelea tuu ila angalia wakimbiza mwenge wenzio Katavi na Arushaone na Slave na Kaizer wako mbio
hahahaha hiyo haiitwi tena hivyo mkuu si ina pembe za yule jamaa wa porini yule mfalme wa nyika hebu ipe jina lake mkuu St. Paka Mweusi
Chocs kimya kimya basi mbona unapiga kelele kumuamsha Erickb52 mwache alale bana
St. Paka Mweusi
kila nikiangalia sioni kama kuna muoaji hapa
inabidi nivute muda tena
pengine baaadae anaweza kupatikana.