Dena Amsi na Mr Rocky

Dena Amsi na Mr Rocky

Kaka walisema sio mimi,wewe ukisema mke gani wenzio wanamuona anapendeza.......
St. Paka Mweusi mi kwangu nilichoka bana ndo maana nikaachia ngazi mapema wewe endelea tuu ila angalia wakimbiza mwenge wenzio Katavi na Arushaone na Slave na Kaizer wako mbio sana

Eh, umenikumbusha wacha nifungue Pilsener yangu hapa...


hahahaha hiyo haiitwi tena hivyo mkuu si ina pembe za yule jamaa wa porini yule mfalme wa nyika hebu ipe jina lake mkuu St. Paka Mweusi

Alooooo...heheheee

Ni nooouma!!
Chocs kimya kimya basi mbona unapiga kelele kumuamsha Erickb52 mwache alale bana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom