Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,194
- 13,426
niko lindoni plz!!!!!!!!
Even me! Nipe mwongozo fasta nifanyeje? Kumbuka wanokoz washalalaz.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niko lindoni plz!!!!!!!!
Even me! Nipe mwongozo fasta nifanyeje? Kumbuka wanokoz washalalaz.
wamesha lala??? Huioni hiyo paracetamol inavyo hang!!!????
Swt Asprin mwenyewe kesharudi kwenye ndoto zake tena!
Ndo nlikuwa nashangaa hapa ujue. Nlikuwa napanga nimtafute aliyekuloga mimnyonge.
Amka kapike breakfast kumeshakucha swt.!
Dah hivi huyu Lady doctor ni mke wa Kaizer au Katavi au Arushaone au Slave au katavi au Vin Diesel au Baba V
Kweli umejipiga kifua
hauogopi kuachwa
Ni nzuri mpenzi wangu
habari za huko?
Maneno hayo, za kwangu nzuri tu mpenzi hakuna wa kuniacha mama ,labda uwe wewe....