- Thread starter
- #981
Mamndenyi unaniumiza ujue,ina maana hata mimi hujaniona.Haya bana ukinikataa najua tutakutana Kotela tu......
St. Paka Mweusi naamini hapo ulimaanisha Kokirie sio Kotela bana au pale Komakundi
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamndenyi unaniumiza ujue,ina maana hata mimi hujaniona.Haya bana ukinikataa najua tutakutana Kotela tu......
Kinana.....?????????????
St. Paka Mweusi kina mimi na wenzangu..Kinana.....?????????????
Una akili wewe yaani kidogo tuu ungekuwa house boy
We nakuomba umuhurumie tu mheshimiwa Lembeli,sababu nakuja kumtoa kwenye jimbo la Kahama.We si uko Maswa au mkoa mkoa mpya wa Simiyu..??

kahama atachukua abasi babu .
kahama atachukua abasi babu .
Nikwambie ukweli basi,hata wewe unanifahamu.Abasi Babu nini bana wakati mimi sasa hivi hata wakisimamisha jiwe kwa jina langu hili jiwe litashinda.Na nachoshukuru sasa hivi ni kuwa katiba mpya inaruhusu mgombea binafsi.Kwa hiyo hata mkinishinda kwenye vyama vyenu nitasimama kama mwana Kahama.Na nilipojenga wala sio mbali ni pale Mhungula tu utanipata....
Mkuu St. Paka Mweusi ngoja nikipita Kahama siku nitauliza kwako aise
hayo ni mafanikio mkuu na kama una nia pambana aise
Hawana pa kutokea safari hii,na nitawaomba tu waniruhusu kusimama mimi.Kwa sababu wasiponiruhusu nitasimama kama mgombea binafsi na nikwambie tu kuwa mimi ni mkulima mzuri sana wa mchele katika mbuga iliyo kati ya mhungula na wigehe.Nina eka zangu 70 pale...
Hawana pa kutokea safari hii,na nitawaomba tu waniruhusu kusimama mimi.Kwa sababu wasiponiruhusu nitasimama kama mgombea binafsi na nikwambie tu kuwa mimi ni mkulima mzuri sana wa mchele katika mbuga iliyo kati ya mhungula na wigehe.Nina eka zangu 70 pale...
Nikwambie ukweli basi,hata wewe unanifahamu.Abasi Babu nini bana wakati mimi sasa hivi hata wakisimamisha jiwe kwa jina langu hili jiwe litashinda.Na nachoshukuru sasa hivi ni kuwa katiba mpya inaruhusu mgombea binafsi.Kwa hiyo hata mkinishinda kwenye vyama vyenu nitasimama kama mwana Kahama.Na nilipojenga wala sio mbali ni pale Mhungula tu utanipata....
Hawana pa kutokea safari hii,na nitawaomba tu waniruhusu kusimama mimi.Kwa sababu wasiponiruhusu nitasimama kama mgombea binafsi na nikwambie tu kuwa mimi ni mkulima mzuri sana wa mchele katika mbuga iliyo kati ya mhungula na wigehe.Nina eka zangu 70 pale...
KOKUTONA habari za utokako
Habari mpya huku ni kuwa Vin Diesel ana mpango wa kufunga ndoa na Lady doctor na Erickb52 anasema ndoa yake ba wewe bado ipo na Arushaone bado anaendeleza uking mswati halafu Mamndenyi ameachwa na Mr Rocky na ndoa yake ya zamani na Dena Amsi imerudi
Slave bado ni kula kulala na manoah pia nae huwa anasubiri ugali wa shikamoo
Bishanga ana madeni kama serikali na mkewe @ the secretary naona ana mpango wa kutafuta kiserengeti boys
Evelyn Salt yupo yupo tuu baada ua Slave kumtema
Vin Diesel unaitwa huku...
KOKUTONA sometimes inabidi tuchanganye madesa inapobidi si unaona hata king mswati Arushaone na nzee wa penda penda Erickb52 na kula kulala manoah na mwenzake Slave mambo yao ni kuchanganya madesa tuuKila la kheri katika maamuzi yenu hayo.
Japo habari ya kuchanganya madesa si nzuri kabisa maisha ya sasa siyo kabisaaa