Dena Amsi

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Posts
10,470
Reaction score
6,580
Wapendwa wanajamvi

Ninaomba tujumuike pamoja na dada etu Dena Amsi katika kumfariji kwa kumpoteza Bibi yake Mzaa Babake, aliyefariki jana Dar Es Salaam. Msiba upo Binju A shuleni.

Pole Dada mlimpenda Bibi lakini MUNGU amempenda zaidi. Yeye alitoa na ni Yeye aliyetwaa, JINA lake lihimidiwe. Amen
 
Pole nyingi kwa Dena Amsi,,Mungu ampe faraja na nguvu
 
Ndo mji gani huo??! amen!

kama wewe si mkazi wa dar es salaam si lahisi kujua ilipo. Bunju ipo maeneo ya tegeta kama unaenda bagamoyo ukitokea mjini.
Pole zangu zimfikie dada Dena Amsi, na Mungu ailaze roho ya bibi dena mahali pema peponi. Amen.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana DA...mungu amlaze pema peponi bibi!hope tutajumuika pamoja huko
 
Pole sana Dena Amisi, Mungu alaze roho ya bibi yetu mahala pema. Let's be strong and believe that ipo siku tutaonana tena, kwa nguvu zake Muumba. Ameen.
 
Pole dada Dena kwa msiba....Tuko pamoja!
Pole sana wafiwa wote
 
Pole dada Dena kwa msiba....Tuko pamoja!
Pole sana wafiwa wote

Naona umebadili na avatar..haya bwana mi nimerudi kivingine baada ya kutandikwa ban mbk oct..(am sore rr) hata fb sikuoni B52..

wako mtiifu T'Hata..
 
Naona umebadili na avatar..haya bwana mi nimerudi kivingine baada ya kutandikwa ban mbk oct..(am sore rr) hata fb sikuoni B52..

wako mtiifu T'Hata..
Batta Hb Boy Nimetaka kukuadd tena ila kila nikikuadd friends wamejaa....
Nitumie request niaccept
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…