Dena Amsi

Dena Amsi

Pole sana Dena Amsi,Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu,Amina.
 
Last edited by a moderator:
Asanteni sana wote mlionipa pole tumemaliza mazishi na leo ndo nimreport kazini.

Mungu awabariki sana na kuwaongoza katika kila jambo.....

MJ1 Thanks dada uwe na moyo huo huo

DA
 
Pole sana mjukuu,
Mungu azidi kukupa nguvu wewe
na wafiwa wote.

Asanteni sana wote mlionipa pole tumemaliza mazishi na leo ndo nimreport kazini.

Mungu awabariki sana na kuwaongoza katika kila jambo.....

MJ1 Thanks dada uwe na moyo huo huo

DA
 
Dah Pole sana Dena...

Mungu amlaze mahali pema bibi yetu mpendwa....
 
Nimejisikia kupitia nyuzi zinazokuhusu......... upumzike kwa amani
 
tangu jana nilipoziona nyuzi za msiba wa Dena najikuta sina raha kabisaa... RIP DENA
 
Asanteni sana wote mlionipa pole tumemaliza mazishi na leo ndo nimreport kazini.

Mungu awabariki sana na kuwaongoza katika kila jambo.....

MJ1 Thanks dada uwe na moyo huo huo

DA
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] si walisema umefariki Dada au sio wewe
 
Back
Top Bottom