Deni la Diamond platnumz kwa Ali Kiba

Tena malizia aiweke vivo asiiweke kwenye free you tube maana maroboti yatamfanyia kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena anatakiwa aimbe mwenyewe wimbo mzima bila kushirikisha mtu

D.A "Mwanaume mashine"
 
Huo ni upepo tu kama wa vyeti vya bashite. Yameshapita na huu utapita. Tukubali diamond ni mtu ambae anajituma hata kama akishuka Ana vitega uchumi vyake vyengine.sisi tupambane na hali yetu
hebu tuambie ni vitega uchumi gani hivyo zaidi ya kastudio ka wasafi?

D.A "Mwanaume mashine"
 
hebu tuambie ni vitega uchumi gani hivyo zaidi ya kastudio ka wasafi?

D.A "Mwanaume mashine"
Pambana na hali yako.
Wewe unashabikia udwanzi na kuhesabu vitega uchumi vya wanaume. Hebu tuambie kitaga uchumi chako ni kipi!?
 
Pambana na hali yako.
Wewe unashabikia udwanzi na kuhesabu vitega uchumi vya wanaume. Hebu tuambie kitaga uchumi chako ni kipi!?
[HASHTAG]#SeduceMe[/HASHTAG]

D.A "Mwanaume mashine"
 
[HASHTAG]#SeduceMe[/HASHTAG]

D.A "Mwanaume mashine"
Taja kitega uchumi chako hapa. Chuki hizo ni za watu walioshindwa maisha.
Unakaa kwa shemeji yako halafu unamponda Daimond ambaye anajitegemea anasimamia wasanii watano. Wewe mwenzangu unasubiri shemeji alete msosi ule kisha usubiri watu waondoke sebureni ndio ulale. Huo ni uzwazwa.

Fanya yako acha kumponda mwanaume usiyemjua.
 
Manina wewe
Kiba kakupigeni dole la kati

kiufupi we bado bwana mdogo au unataka ukuje uwe mke wangu wa pili, maana unahitaji sana kujua vitega uchumi vyangu

D.A "Mwanaume mashine"
 
Ndo maana alikiba hajiongezi kwa sababu ya nyie mashabiki wake saiv atajiona yy ndo mungu:af saiz nimegundua bongo ukiwa na mafanikio unachukiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manina wewe
Kiba kakupigeni dole la kati

kiufupi we bado bwana mdogo au unataka ukuje uwe mke wangu wa pili, maana unahitaji sana kujua vitega uchumi vyangu

D.A "Mwanaume mashine"
Nani kaongelea kiba hapa. Mimi wote nawakubali. Lakini wewe unaonekana nati chache kichwani zimevunjika.
Unaamza kumponda mwanaume mwenzako kwenye mitandao kuhusu maisha yake. Huo no wehu. Wewe sifia wimbo unaoupenda siyo kumuhusisha mwanaume mwingine usio mjua.

Vijana wanaokaa kwa shemeji zao ndio tabia zenu hizo. Unajitapa umeoa kwikwikwikwi, unachekesha sana waliooa hawana akili fupi kama zako.

Pambana na hali yako.
 
Mbuzi mee wew

Kakojoe ulale!

D.A "Mwanaume mashine"
 
Ulitaka awe kama wale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unajua maana ya LIFE STYLE?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…