Deni la gari TRA

Deni la gari TRA

Nyakarungu

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2011
Posts
472
Reaction score
377
Wakuu nawezaje kucheki deni la gari linalodaiwa na TRA wakuu kwa simu?
 
Kuwa makini,vishoka hata humu wamejaa utashangaa mtu anakwambia umtumie namba za gari akuangalilie,alaf atakurudia akwambie umtumie pesa akusaidie kukulipia.si unajua tena,ingawaje TCRA wamewapiga faini makampuni ya simu,laini zisizo sajiliwa bado zipo mitaani
 
Andika neno KADIRIA acha nafasi, namba ya gari, tuma kwenda 15341.

Mfano: KADIRIA T101AAA

Baadae ujumbe utakuja na kiasi unachotakiwa kulipia
Bila kusahau simu iwe na salio la sio chini ya sh.600,ni salio sio kifurushi!
 
Back
Top Bottom