Deni la Kenya lakadiriwa kufika trillions 150 mpaka kipindi Raisi U.Kenyatta atakapoachia madaraka, kwa sasa lipo trillioni 112

Shame on you too. Pretending to care yet we know you are laughing at us. Hypocritical tanzagiza. Which food do you possess there that you keep bragging about
 
You cowards or another country?
 
Tumia akili haya ni mambo ya uchumi unahitaji elimu ya economics ili uwelewe kwanini madeni yanaleta shida katika maendeleo ya nchi.

Tatizo la deni lipo kwenye terms za ulipaji wa deni, kama interest ni kubwa na kipindi cha kulipa ni kifupi, maana yake pesa yote unayoipata, sehemu kubwa unalipa madeni, kinachobaki hakitoshi kulipa mishahara na matumizi mangine ya kuendesha serikali.

kwasababu bila mishahara hakuna Huduma za kijamii, nchi italazimika kukopa ili kulipa mishahara, hakuna chombo chochote cha fedha, wala serikali inayokopesha kwa ajili ya kulipia reccurent expenditure, lazima mtalazimika kuachia airports na Bandari.
 
Holdon, what did you just call us? How dare you call us hypocrites, Remember who gave you the life back from 2007 violence? Most of your internal problems Tanzania was there to make you breathe again
Vp kuhusu ulani wa albino
 
Baby unaufahamu ule wimbo wa sauti soul wakuitwa "tujiangalie"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…