Yanatusumbua kwasababu ninyi ni majirani, kumbuka matatizo ya jirani yako yanasambaa hadi kwako, ona jinsi USA inavyosumbuliwa na Mexico, Kenya inavyosumbuliwa na matatizo ya Somalia na South Sudan, Uganda na Rwanda I inavyosumbuliwa na matatizo ya Eastern DRC, Tanzania inavyosumbuliwa na insecurity ya Kenya.
Hii tabia ya ninyi wakenya kuendelea kupinga kila mnapoelezwa matatizo yenu, ndiyo inayosababisha kuendelea kupokea food aid pamoja na kwamba mna GDP kubwa lakini haina faida yoyote kwa mwanainchi wa kawaida, no wonder mpo katika kundi la failed state, shame on you.