Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Ripoti ya CAG inasema kwamba mkandarasi wa Mradi wa umeme wa Nyerere anaidai Serikali mabilioni kama fidia ikiwa ni kutokana na kukosekana kwa umeme wa uhakika kumwezesha kutekeleza majukumu yake kimkataba.
Binafsi naona deni hilo ni batili kwani kimantiki. (Logically) hatupaswi kumlipa fidia hiyo.
Kwasababu sisi tumemuajiri mkandarasi ili atutengenezee bwawa ili tupate umeme wa uhakika.
Toka awali mkandarasi alijua kabisa kuwa sisi tunahitaji umeme maana yake ni kuwa tulio nao hautoshi.
Sasa kwa yeye kutudai sisi fidia kwakua hatujampa umeme wakati hatuna na majukumu yake ni kutusaidia tuupate umeme haileti maana yeyote.
Ni uonevu na matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi.
Asilipwe.