Deni la mabilioni linalotokana na kukosekana kwa umeme kwa mkandarasi JNHPP ni Batili

Deni la mabilioni linalotokana na kukosekana kwa umeme kwa mkandarasi JNHPP ni Batili

Hii combination ya Maharage na January ni ushuzi mwanzo mwisho
 
Hapo sasa unanipa kazi ya ku explain vitu kwa urefu njia rahisi ni hii (after that unaweza google for depth explanation on the concepts).

Nimekueleza kuna makubaliano kwenye kutatua ‘schedulling contraints’ hiyo inaangalia possible risks zote zinazoweza chelewesha mradi mnaelewana namna ya kuzidhibiti na hilo linakuwa jukumu lako la kimkataba usipotokeleza kuna sanctions.

Nimekueleza kuna kinaitwa ‘Program Evaluation and Review Technique (PERT) kwenye kila tasks kuna possibilities tatu za muda wa kumaliza. So ukipitiliza bila ya sababu za msingi kuna fines kwa aliyesababisha.

Nimekueleza kuna Earned Value Management ina assess costs za mradi na hatua ulipo. It’s over spending ambazo ni unjustifiable you are responsible for remedies sought.

Mambo yote haya ni sehemu ya mkataba kila tasks ina muda wake na documents zingine kibao za control measures za tasks ahead ambazo wote mnazo sasa kuanza kuongelea mambo yote in details sijui ‘Project Network Diagram’ inaelezea nini, ‘Project scheduling and time estimation’ ina mantiki gani, ways of controlling costs and so forth hii mada itageuka darasa la project management.

Muhimu ni kwamba hakuna fines za hewani, mpaka kiwango kinachopigwa it’s justifiable by measurable additional costs due to delays and future income losses for the business.

Asubuhi njema.
Umezungumzia mambo meengi sana ila hoja hapa ni rahisi tu.

Hatupaswi kumlipa mtu kwa kutompa mtu kitu ambacho hatuna wakati jukumu lake ni kutupatia hicho ambacho hatuna.

Huo ni wizi wa mchana kweupe.
 
Umezungumzia mambo meengi sana ila hoja hapa ni rahisi tu.

Hatupaswi kumlipa mtu kwa kutompa mtu kitu ambacho hatuna wakati jukumu lake ni kutupatia hicho ambacho hatuna.

Huo ni wizi wa mchana kweupe.
Katika hayo mambo unayoyaona mengi and unnecessary ndio terms za mkataba wenyewe zilipotengezwa.

Swala linakuwa rahisi kwako kwa sababu utaki kuelewa value of exchange iliyopo kwenye hayo mambo mengi. Una mtazamo wako tayari ambao unataka uwe ivyo.

Kwa lugha rahisi ni hivi:

Uwezi kupeleka gari lako kwa fundi garage uchukue space yake ya kazi, utoe ahadi ya kununua spear mwenyewe, halafu ucheleweshe kupeleka hizo spear. Baada ya siku mbili ujatokea ata kama umetoa deposit ya kazi ilo gari atalitoa aendelee na kazi nyingine. Awezi kukusubiri wewe apoteza kazi zingine.

Same thing contractor nae anatafuta kazi nyingine baada ya bwawa la Nyerere, uwezi mpotezea muda kama unavyojisikia wewe kwa vitu ambavyo ni majukumu yako ya kimkataba, so utalipia muda wake na utalipia standing costs zake bila ya kazi.

👋 vinginevyo hapa I get the feeling tutakesha maana inaonekana una msimamo tayari ambao illogical and unyielding.
 
Ripoti ya CAG inasema kwamba mkandarasi wa Mradi wa umeme wa Nyerere anaidai Serikali mabilioni kama fidia ikiwa ni kutokana na kukosekana kwa umeme wa uhakika kumwezesha kutekeleza majukumu yake kimkataba.

Binafsi naona deni hilo ni batili kwani kimantiki. (Logically) hatupaswi kumlipa fidia hiyo.

Kwasababu sisi tumemuajiri mkandarasi ili atutengenezee bwawa ili tupate umeme wa uhakika.

Toka awali mkandarasi alijua kabisa kuwa sisi tunahitaji umeme maana yake ni kuwa tulio nao hautoshi.

Sasa kwa yeye kutudai sisi fidia kwakua hatujampa umeme wakati hatuna na majukumu yake ni kutusaidia tuupate umeme haileti maana yeyote.

Ni uonevu na matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi.

Asilipwe.
Kalaga baho tunajiandaa kulipa nusu ya deni kwenye certificate ijayo.
 
Na wewe ukaamini maneno ya RCAG? Huyo mkandarasi hata hyo hela hadai , anachodai ni kucheleweshwa kwa pesa za mradi ....! Hlo la fidia ni mkakati wa genge
Kimada wa ndugaiii upo?! Ulipambana kumjaza ujinga Ndugai,mwenzio sasaiv anaishi kwa kujificha Kama digidigi
 
Hata huku mtaani wananchi wanatakiwa kulipwa fidia na January na Tanesco yake kwa kukata kata umeme ovyo
 
Kandarasi mshauri anafanya nini kama anayajua yote haya na risk.abanwe huyo mkandarasi.
Kuna mambo hii nchi yanaenda kirahisi rahisi sana bila mtu kuwajibika.Soko la karume limeungua mlinzi anakuambia mateja.yeye yupo na hakuwagukuza moto umetokea kampuni ya ulinzi hawana bima wala bima yoyote ya kuwafidia hasara.
Umetokea moto Soko kuu kariakoo chanzo mama ntile kutozima moto ina maana walinzi hawajaelekezwa kuhakikisha anakagua kila kitu na kona kabla ya kukaa getini.
Tunahitaji tuwe na mikataba ya kujua nani anafidia nini kama kuna hasara badala ya hasara kutokea invoice kupewa serikali.
 
CAG hajasema kwamba hayo ni matakwa ya mkataba. Angesema mkataba ulikua mbovu. Kama hilo lingekuwa jambo lenyewe.

Hata hivyo hatupaswi kulipa hata senti.
Unakomalia kitu ambacho hukijui.

Kama makubaliano kwenye mkataba yalitaka 'contractor' apewe umeme kutimiza kazi yake na kama hakupewa ilivyokubaliwa, ni haki yake adai fidia ya hasara ya kucheleweshewa kazi.

Ninakushangaa kidogo hata hili kutolijua.
 
Na wewe ukaamini maneno ya RCAG? Huyo mkandarasi hata hyo hela hadai , anachodai ni kucheleweshwa kwa pesa za mradi ....! Hlo la fidia ni mkakati wa genge
Hili genge litatumaliza
 
Ripoti ya CAG inasema kwamba mkandarasi wa Mradi wa umeme wa Nyerere anaidai Serikali mabilioni kama fidia ikiwa ni kutokana na kukosekana kwa umeme wa uhakika kumwezesha kutekeleza majukumu yake kimkataba.

Binafsi naona deni hilo ni batili kwani kimantiki. (Logically) hatupaswi kumlipa fidia hiyo.

Kwasababu sisi tumemuajiri mkandarasi ili atutengenezee bwawa ili tupate umeme wa uhakika.

Toka awali mkandarasi alijua kabisa kuwa sisi tunahitaji umeme maana yake ni kuwa tulio nao hautoshi.

Sasa kwa yeye kutudai sisi fidia kwakua hatujampa umeme wakati hatuna na majukumu yake ni kutusaidia tuupate umeme haileti maana yeyote.

Ni uonevu na matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi.

Asilipwe.
Kama hayo ni makubaliano na anayedaiwa alikubali kutoa umeme wa uhakika basi hapo ubatili haupo
 
Back
Top Bottom