Deni la serikali lafikia Tsh. Trilioni 96.8, limeongezeka kwa 18.8% na bado ni himilivu!

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kamati ya Bunge ya Bajeti imesema hadi kufikia Juni, 2024 deni la Serikali lilikuwa Sh.Trilioni 96.8 sawa na ongezeko la asilimia 18.18 ikilinganishwa na Sh.Trilioni 81.9 katika kipindi kama hicho mwaka 2023.

Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Oran Njeza ameyasema hayo leo bungeni alipokuwa akiwasilisha taarifa ya mwaka ya shughuli za kamati hiyo.

Amesema ongezeko hilo lilitokana na ukopaji kwa ajili ya kugharamia miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, reli, viwanja vya ndege, umeme na maji pamoja na kushuka kwa thamani ya Shilingi dhidi ya dola ya Marekani.

“Uchambuzi wa kamati ulibaini kuwa takribani asilimia 37.48 ya mapato ya ndani yaliyokusanywa katika mwaka 2023/24 yalitumika kulipa deni,”amesema.

Amesema Kamati inaendelea kuishauri Serikali kuhakikisha mikopo inayopokelewa inaelekezwa katika miradi inayochochea kasi ya ukuaji wa uchumi na mauzo ya bidhaa na huduma nje ya nchi pamoja na kuongeza wigo na ukusanyaji wa mapato ya ndani ili kuwa na uwezo wa kugharamia deni

deni .png

Source: Nipashe
 
Attachments

  • IMG-20250209-WA0004.jpg
    IMG-20250209-WA0004.jpg
    183.7 KB · Views: 1

Madilu System anasemaje kwani?
 
Ata Kenya walianza hivi hivi,deni vumilivu angali linaongezeka Kila kukicha,after 20 years Hilo deni halitokua vumilivu Tena na possibly ndio itakua mwanzo wa machafuko TZ hii.
 
Mkuu bado ni himilivu tuna mashamba mengi sana kwn unadhani wanatukopesha bila kuona kitu?
 
Sasa hela zinazokopwa zinaenda wapii?
Afu kinakuja kusema kukopa kuna aibisha
 
Wakuu,

Kamati ya Bunge ya Bajeti imesema hadi kufikia Juni, 2024 deni la Serikali lilikuwa Sh.Trilioni 96.8 sawa na ongezeko la asilimia 18.18 ikilinganishwa na Sh.Trilioni 81.9 katika kipindi kama hicho mwaka 2023.

Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Oran Njeza ameyasema hayo leo bungeni alipokuwa akiwasilisha taarifa ya mwaka ya shughuli za kamati hiyo.

Amesema ongezeko hilo lilitokana na ukopaji kwa ajili ya kugharamia miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, reli, viwanja vya ndege, umeme na maji pamoja na kushuka kwa thamani ya Shilingi dhidi ya dola ya Marekani.

“Uchambuzi wa kamati ulibaini kuwa takribani asilimia 37.48 ya mapato ya ndani yaliyokusanywa katika mwaka 2023/24 yalitumika kulipa deni,”amesema.

Amesema Kamati inaendelea kuishauri Serikali kuhakikisha mikopo inayopokelewa inaelekezwa katika miradi inayochochea kasi ya ukuaji wa uchumi na mauzo ya bidhaa na huduma nje ya nchi pamoja na kuongeza wigo na ukusanyaji wa mapato ya ndani ili kuwa na uwezo wa kugharamia deni

Source: Nipashe
Kwa hiyo wanapambana lisiwe himilivu au?
 
Back
Top Bottom