Deni la serikali lafikia Tsh. Trilioni 96.8, limeongezeka kwa 18.8% na bado ni himilivu!

Deni la serikali lafikia Tsh. Trilioni 96.8, limeongezeka kwa 18.8% na bado ni himilivu!

CCM wataenda na magoti kuomba mikopo
Na kwapia Trump atamaliza kipindi chake bila kukakanyaga Africa ndiyo maana hata ma-Rais wa Africa hawataitwa Marekani ni wachache sn wachapa kazi wataitwa hawa ombaomba wetu ni marufuku kukanyaga Marekani labda aende kwenye matibabu.
 
Ata Kenya walianza hivi hivi,deni vumilivu angali linaongezeka Kila kukicha,after 20 years Hilo deni halitokua vumilivu Tena na possibly ndio itakua mwanzo wa machafuko TZ hii.
Mpina kasema imebaki asilimia 4 tu kufika asilimia 40 za Ukomo wa ustahimilivu wa Deni.
 
Back
Top Bottom