Deni la Serikali ya Tanzania Lafikia Trilioni 98

Ripoti ya mwezi ya Benki ya Tanzania inaonesha mpaka Julai 2024, deni la serikali lilifikia Trilioni 98.5 huku asilimia 67 ya deni hilo likiwa ni deni la nje sawa na dola za kimarekani Bilioni 24.69, ambazo ni Trilioni 66 za Kitanzania

Sekta iliyopokea mikopo mingi ni usafirishaji na mawasiliano ambapo ilipokea asilimia 25.9 ya mikopo yote ikifuatiwa na huduma za kijamii na mawasiliano iliyopokea asilimia 23.9 ya mkopo wote.

Kati ya mwaka 2020 na mwaka 2024, deni la ndani limeongezeka mara mbili kutoka Trilioni 15.1 mwaka 2020 mpaka kufikia Trilioni 32 mwaka 2024. Wakopeshaji wakubwa wa ndani ni Benki za Kibiashara (30.2%), Mifuko ya Hifadhi (27%), Benki Kuu( 23%), Kampuni za Bima (5.7%) na nyinginezo (14%).

View attachment 3107555
Tunaelekea kubaya mno
 
Hatuwezi tukawapa hii nchi wazungu waiendeshe angalau kwa miaka 10!
 
Ripoti ya mwezi ya Benki ya Tanzania inaonesha mpaka Julai 2024, deni la serikali lilifikia Trilioni 98.5 huku asilimia 67 ya deni hilo likiwa ni deni la nje sawa na dola za kimarekani Bilioni 24.69, ambazo ni Trilioni 66 za Kitanzania

Sekta iliyopokea mikopo mingi ni usafirishaji na mawasiliano ambapo ilipokea asilimia 25.9 ya mikopo yote ikifuatiwa na huduma za kijamii na mawasiliano iliyopokea asilimia 23.9 ya mkopo wote.

Kati ya mwaka 2020 na mwaka 2024, deni la ndani limeongezeka mara mbili kutoka Trilioni 15.1 mwaka 2020 mpaka kufikia Trilioni 32 mwaka 2024. Wakopeshaji wakubwa wa ndani ni Benki za Kibiashara (30.2%), Mifuko ya Hifadhi (27%), Benki Kuu( 23%), Kampuni za Bima (5.7%) na nyinginezo (14%).

View attachment 3107555
Bado sana hilo deni mama kopaa zaidi wakitubania tutawaweka bondi lisu na mbowe
 
Tulieni mama anaupiga mwingi... ccm wanafanya siasa kwenye uchumi... wanadhani nchi itaongozeka tu ila kuna uhusiano mkubwa ktk uongozi wa juu wa kitaifa na uchumi wa Taifa. Well tunajenga kizimkazi cc Kikwete na magemedari wengine waambie tunaenda na mama... tusiposema meno mwatungoaa ila kila mtu atalilia chumbani kwake kwa maumivu yake baada yakumaliza kula kwa urefu wa kamba yake
Ripoti ya mwezi ya Benki ya Tanzania inaonesha mpaka Julai 2024, deni la serikali lilifikia Trilioni 98.5 huku asilimia 67 ya deni hilo likiwa ni deni la nje sawa na dola za kimarekani Bilioni 24.69, ambazo ni Trilioni 66 za Kitanzania

Sekta iliyopokea mikopo mingi ni usafirishaji na mawasiliano ambapo ilipokea asilimia 25.9 ya mikopo yote ikifuatiwa na huduma za kijamii na mawasiliano iliyopokea asilimia 23.9 ya mkopo wote.

Kati ya mwaka 2020 na mwaka 2024, deni la ndani limeongezeka mara mbili kutoka Trilioni 15.1 mwaka 2020 mpaka kufikia Trilioni 32 mwaka 2024. Wakopeshaji wakubwa wa ndani ni Benki za Kibiashara (30.2%), Mifuko ya Hifadhi (27%), Benki Kuu( 23%), Kampuni za Bima (5.7%) na nyinginezo (14%).

View attachment 3107555
Cm
 
Mwigulu lazima awafurahishe....

Naona trend Inaonesha kila mwaka deni linapaa..
Hata mama amelikuta likiwa linapaa...!
Swali ina maana huwa hatutoi marejesho kupunguza deni?
Au tunafanya top-up??
Means tunaishi Kwa mikopo??
Nini kifanyike walau tupunguze?
Na kama litaendelea na trend hii ya kupanda baada ya miaka 50 tutafika wapi??
Au tutakuwa hatukopesheki?
Watakao kuwepo wataishije??
Nawaza tuu
 
Duuu

Nani anajua huyu mama anatupelekaa wapiii , mh Samia anatupeleka wapi Lucas Mwashambwa

Jibu hili
Huyo kidampa wa Makonda hawezi kuelewa issues nzito zinazohitaji brains kubwa kudigest ,namba hizo kwake ni nyota nyota tu.

Yeye anachojua ni kupuliza vuvuzela kumsifia Samia hata akikohoa anasema amewafikia watanzania.
 
Ripoti ya mwezi ya Benki ya Tanzania inaonesha mpaka Julai 2024, deni la serikali lilifikia Trilioni 98.5 huku asilimia 67 ya deni hilo likiwa ni deni la nje sawa na dola za kimarekani Bilioni 24.69, ambazo ni Trilioni 66 za Kitanzania

Sekta iliyopokea mikopo mingi ni usafirishaji na mawasiliano ambapo ilipokea asilimia 25.9 ya mikopo yote ikifuatiwa na huduma za kijamii na mawasiliano iliyopokea asilimia 23.9 ya mkopo wote.

Kati ya mwaka 2020 na mwaka 2024, deni la ndani limeongezeka mara mbili kutoka Trilioni 15.1 mwaka 2020 mpaka kufikia Trilioni 32 mwaka 2024. Wakopeshaji wakubwa wa ndani ni Benki za Kibiashara (30.2%), Mifuko ya Hifadhi (27%), Benki Kuu( 23%), Kampuni za Bima (5.7%) na nyinginezo (14%).

View attachment 3107555
Ndugai aliona mbali akasema sitaki history imuhukumu... Bint tall akaona fursa sasa wacha apambane
 
Naona trend Inaonesha kila mwaka deni linapaa..
Hata mama amelikuta likiwa linapaa...!
Swali ina maana huwa hatutoi marejesho kupunguza deni?
Au tunafanya top-up??
Means tunaishi Kwa mikopo??
Nini kifanyike walau tupunguze?
Na kama litaendelea na trend hii ya kupanda baada ya miaka 50 tutafika wapi??
Au tutakuwa hatukopesheki?
Watakao kuwepo wataishije??
Nawaza tuu
Mkuu miaka 50, huko mbali sana 2035 hatutoboi
 
Hilo ni swalinlw kijinga kupita maelezo.

Una vyanzo vipi vya mapato vya kukufanya usikope kwa Kujijengea vyanzo vyako vya kukuingizia mapato?
Wewe uchumi unajua
Wee endelea na mikariro ya kruanii.
Na shungi kazi kubadilisha Shungi

Hizo matrillioni aliyokopa toka ameingia

Yameleta faida gani wakati miradi mingi imesimaaa hakuna kinachoendelaa.
 
Um

Umeishiwa.
 
Ripoti ya mwezi ya Benki ya Tanzania inaonesha mpaka Julai 2024, deni la serikali lilifikia Trilioni 98.5 huku asilimia 67 ya deni hilo likiwa ni deni la nje sawa na dola za kimarekani Bilioni 24.69, ambazo ni Trilioni 66 za Kitanzania

Sekta iliyopokea mikopo mingi ni usafirishaji na mawasiliano ambapo ilipokea asilimia 25.9 ya mikopo yote ikifuatiwa na huduma za kijamii na mawasiliano iliyopokea asilimia 23.9 ya mkopo wote.

Kati ya mwaka 2020 na mwaka 2024, deni la ndani limeongezeka mara mbili kutoka Trilioni 15.1 mwaka 2020 mpaka kufikia Trilioni 32 mwaka 2024. Wakopeshaji wakubwa wa ndani ni Benki za Kibiashara (30.2%), Mifuko ya Hifadhi (27%), Benki Kuu( 23%), Kampuni za Bima (5.7%) na nyinginezo (14%).

View attachment 3107555
Ushaambiwa hakuna atakayekuja kukugongea kuwa unadaiwa deni la serikali-by doctor of Economics.
 
Back
Top Bottom