Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
KuabudiwaSifa ipi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KuabudiwaSifa ipi??
Vipaumbele vyao sio vipaumbele vya wananchiTunahitaji kusifiwa tuu
Hilo ndiyo tatizo lao, sijui watu watakula hayo malami?Vipaumbele vyao sio vipaumbele vya wananchi
Hawa sindo wametuambia tumeingia uchumi wa kati!!
Maendeleo yeyeto Kama ayainui maisha ya watu ni kuchezea Kodi zetuHilo ndiyo tatizo lao, sijui watu watakula hayo malami?
Huo uchumi wa kati ni nadharia tu,ni sawa na ndoto aotayo mtu aliyepo macho(Asiyelala usingizi).Hauongezi mlo mezani kwangu wala chochote mfukoni bila kutoka jasho.Therefore, don't put your hopes that higher. Life will remain the same or get worse if we are not careful.Hawa sindo wametuambia tumeingia uchumi wa kati!!
Somo hilo CCM wameshindwa kufaulu,wanafanya maigizo kwa vitu serious. Unajenga daraja kama LA Salender jipya ilhali lililopo halijaharibika na bado linatumika?Barabara ya Morocco imejengwa miaka michache iliyopita,unaibomoaje na kuipanua ilhali Luna maeneo watoto kama hao wanakalia mangomongo.Fikiria kama ungekuwa wewe au Mtoto wako?Ungefurahia matunda ya Uhuru kwenye miaka karibia 60?Umri wa Mtanzania kustaafu(Mzee)?Maendeleo yeyeto Kama ayainui maisha ya watu ni kuchezea Kodi zetu
Somo hill CCM wameshindwa kufaulu,wanafanya maigizo kwa vitu serious. Unajenga daraja kama LA Salender jipya ilhali lililopo halijaharibika na bado linatumika?Barabara ya Morocco imejengwa miaka michache iliyopita,unaibomoaje na kuipanua ilhali Luna maeneo watoto kama hao wanakalia mangomongo.Fikiria kama ungekuwa wewe au Mtoto wako?Ungefurahia matunda ya Uhuru kwenye miaka karibia 60?Umri wa Mtanzania kustaafu(Mzee)?
Kuna ulazima wa kutafuta mabadiliko ya mawazo,matendo na maneno yetu kuhusu maendeleo tunayoyataka na siyo yatakiwayo na watawala ili Tanzania irejee kwenye reli yake.
Ndipo tunaposema maendeleo ya vitu,tunamaanisha hilo.Watawala wanatekeleza miradi inayotumia sehemu kubwa ya mapato yetu ya ndani ambayo ni madogo.Misaada tumenyimwa,na sasa tumeingia uchumi wa kati ndiyo tutakiona kwa sababu masharti yatakayozingatiwa siyo kama ile ya nchi maskini tena.Tusisahau kuwa deni la Taifa japo wanasema ni himilivu lakini athari zake ni nyingi na haikosi itatuchukua miaka mingi sana kujinusuru.Awaangalii vipaumbele vyetu Bali vyao,ikulu mpya Hali ya zamani ipo,sgr Hali mbadala ipo,bwawa la Nyerere Hali ya zamani ungeweza yaboresha ukapata umeme uutakao.
Labda Kama wanatumia miradi Kama sehemu ya kutakatishia Kodi zetu.
Bado awajagusa key ya matatizo ya watz zaidi ya kutafutia sifa na kuja kukumbukwa wasipokuwepo,ni ubinafsi wa kiwango cha juu huu
Ndipo tunaposema maendeleo ya vitu,tunamaanisha hilo.Watawala wanatekeleza miradi inayotumia sehemu kubwa ya mapato yetu ya ndani ambayo ni madogo.Misaada tumenyimwa,na sasa tumeingia uchumi wa kati ndiyo tutakiona kwa sababu masharti yatakayozingatiwa siyo kama ile ya nchi maskini tena.Tusisahau kuwa deni la Taifa japo wanasema ni himilivu lakini athari zake ni nyingi na haikosi itatuchukua miaka mingi sana kujinusuru.
Mabadiliko yanatakiwa liwake jua au inyeshe mvua.Kura zetu zinaweza kutuletea viongozi tunao waamini bila mizengwe ya yeyote.
Hatutaki unyonge,siye hatuwezi kuendelea kuwa wanyonge ndani ya nchi yetu wenyewe.Hali hii haikubaliki na tuwakatae wanaotulazimisha kuwa wanyonge.Wamewafanya watu wawe masikini kimakusudi ili watawaliwe, wanyonge ni rahisi kwao kuamini propaganda
Mtawaliwa aruhusiwi kuwa juu kuliko mtawalaHatutaki unyonge,siye hatuwezi kuendelea kuwa wanyonge ndani ya nchi yetu wenyewe.Hali hii haikubaliki na tuwakatae wanaotulazimisha kuwa wanyonge.
Tanzania ni nchi Huru,Watanzania wanatakiwa kuwa watu Huru, wawezeshwe kutumia aina zote za raslimali zilizopo kuleta maendeleo bila ubaguzi wa aina yoyote.Haijalishi tofauti zetu lakini sote ni Watanzania.
Wafanye wawe masikini ili uwatawale,kwao maendeleo ya vitu ndio muhimu kuliko watu, wanaogopa kuendeleza watu ili wanyonge waongezeke, mnyonge ni rahisi kumlisha propaganda,mnyonge anashabikia ndege Hali si mpandaji,mnyonge anafurahi tajiri anaposhughulikiwa bila kujua ye ndo atapigika kabisaNdipo tunaposema maendeleo ya vitu,tunamaanisha hilo.Watawala wanatekeleza miradi inayotumia sehemu kubwa ya mapato yetu ya ndani ambayo ni madogo.Misaada tumenyimwa,na sasa tumeingia uchumi wa kati ndiyo tutakiona kwa sababu masharti yatakayozingatiwa siyo kama ile ya nchi maskini tena.Tusisahau kuwa deni la Taifa japo wanasema ni himilivu lakini athari zake ni nyingi na haikosi itatuchukua miaka mingi sana kujinusuru.
Mabadiliko yanatakiwa liwake jua au inyeshe mvua.Kura zetu zinaweza kutuletea viongozi tunao waamini bila mizengwe ya yeyote.
Ni kweli maana leo tunaambiwa bado himilivuBado deni dogo sana hilo
Ova
Huu msimamo unao hadi sasa?Mzigo ni kwetu wananchi, anae achiwa ni kiongozi, au mtawala, kwa itakavyo kuwa.
Ndugai yupo sahihi?[emoji23]Tunakaribia kwenye sifa ya kutokopesheka na hapo ndiyo tutaimba wimbo mmoja
Ndugaye yupo sahihi sanaNdugai yupo sahihi?[emoji23]