Deni la taifa; kila Mkenya anadaiwa takriban Tshs 2,100,000

Tayari tuna reli ya kisasa 480km Nairobi-Mombasa yenye miundo mbinu yote inayohitajika, kutakua na changamoto ndogo ndogo za teething problems, lakini nyie hata zege hamjaanza kukoroga kwa hako kasafu ka 200km, hamueleki eleweki.

SGR yetu imefanyiwa mahesabu na ita-break even kwa cargo tani milioni tano, kumbuka bandari yetu inashusha tani milioni 28 kwa mwaka.

Kuna miundo mbinu nyingi tu ambayo nikianza kushusha mahesabu yake hapa mtakaa.

Labda kwa mazingaumbwe ndio utaona break even. Mchina anahagaika kujaribu kuona pesa yake haipoteo kwenye hiyo reli huku waganda wanapindasha kona kuja Tanzania, Kweli break even inakuja.
 
Hatari sana, yaani jamaa wanapiga 40% na bado wana mambo lukuki hawajatimiza, hivyo wanategemea kukopa mpaka iwatokee puani ilhali bado hata hawajatoka kwenye nchi maskini Afrika.
Mambo lukuki kama yapi? Hili zigo la madeni mnalo mpaka mwisho wa dunia. Halafu walipaji ni wakenya wote hata watoto ambao bado hawazalia. Kibaya zaidi pesa iliyo kopwa imeishia mifukoni kwa wajanja wachache. "Tano Tena"
 
Tayari tuna reli ya kisasa 480km Nairobi-Mombasa yenye miundo mbinu yote inayohitajika, kutakua na changamoto ndogo ndogo za teething problems, lakini nyie hata zege hamjaanza kukoroga kwa hako kasafu ka 200km, hamueleki eleweki.

SGR yetu imefanyiwa mahesabu na ita-break even kwa cargo tani milioni tano, kumbuka bandari yetu inashusha tani milioni 28 kwa mwaka.

Kuna miundo mbinu nyingi tu ambayo nikianza kushusha mahesabu yake hapa mtakaa.
Sisi tunapeleka vitu zaidi ya 5 kwa pamoja nyie hivyo viwili tu mnajidaiiii, sasa ili tuwakomeshe kuanzia April tar 4 saa 12asbhi mtazungukia moshi kupanda mlima Kilimanjaro,, shenzi taipu, mlima wote tunapiga ukuta tunabakiza tundu moja tu hapa moshi,, ili mlipe mapato,,
 
Msijaribu kuzungusha ukuta mt. Kilimanjaro. Hivi nyinyi hamjui Kilimanjaro ipo Kenya?
 
Nimesema those are teething problems, ambazo naona huwa mnazisubiria kwa hamu zaidi hata ya fisi.
Unapoanzisha jengo jipya la maduka (shopping centre), huwa kunakua na changamoto ndogo ndogo kabla halijafurika wateja.
Mwisho wa siku
- Muundo mbinu upo na hauondoki
- Ni bora kuliko yote ya EAC na Kati
- Ni nafuu kwa wasafiri na wanabiashara
- Halafu sasa hivi Uganda, DRC, Burundi, na Rwanda waliokua wanaendesha malori hadi Mombasa wamepunguziwa umbali wa kilomita 500km

So it's just a matter of time before we are fully operational.

Nyie bado mpo na stori tu kwenye hako kasafu kenu ka 200km
duh,mkuu acha jamaa apumue bana.hizi za uso zimemtosha 😀
 
Hamna mtu wa Burundi ataendesha lori atoke na lori toka mombasa apitie tanzania yote ndo aingie kwao. Huyo atakuwa sio mfanyabiashara ni mfanya masihara
 
Sasa kwa akili zako ipi sahihi, maana sasa hivi wapo wanaotokea Burundi, wanakatiza Burundi inaisha na kuingia Rwanda, wanakatiza Rwanda mpakani hadi mpakani na kuvuka hadi Uganda, wanakatiza Uganda mpakani hadi mpakani na kuingia Kenya, wanakatiza Kenya yote hadi Mombasa.... Yote haya wanafanya kwa sababu ya uzembe wenu, mumeshindwa kuwahudumia.

Sasa leo hao wamepunguziwa kilomita mia tano, tukiendelea poa hadi reli iishie Kigali, watakua wamepunguziwa safari yote.
 
Duh yaani Tanzania mpo tayari 39% na bado kuna miundo mbinu nyingi mnategemea kukopa na bado hamjatoka hata kwenye LDC, yaani orodha ya mataifa maskini wa kutupwa.
Mlifaa kuwa mnachezea kwenye chini ya 30% maana bado mna vitu vingi sana hamjatimiza kimiundo mbinu, siku mkianza kutimiza hapo lazima wafadhili watazaa na nyie.

Bora sisi tunachezea kwenye hiyo 56% na tuna mengi ya kuonyesha, yaliyosalia ni machache.
Mna kipi? Hivi em tuongee pasi na ushabiki, Kenya mna kipi cha kuwafundisha watanzania?

Miradi mikubwa Tanzania so far ni SGR, Stieglers gorge, kinyerezi ambayo yote hii kama ni mkopo especially kinyerezi tayari ipo counted in kwenye deni la taifa hiyo mingine tunatumia pesa za ndani ambapo ikikamilika nyie Kenya mnakua nzi tu to the respective projects comparisons.
 
Midege yote miboeing Dreamliners na mingine yote 7 tumenunua kwa pesa zetu cash wakenya barabara ya kilometer 3 wanakopa pesa
 
Mambo lukuki kama yapi? Hili zigo la madeni mnalo mpaka mwisho wa dunia. Halafu walipaji ni wakenya wote hata watoto ambao bado hawazalia. Kibaya zaidi pesa iliyo kopwa imeishia mifukoni kwa wajanja wachache. "Tano Tena"
Wakenya kuna mda wanatia huruma kweli sema wanaujasiri wa kujisifia wakati kamba ipo shingon hahahh
 
Msijaribu kuzungusha ukuta mt. Kilimanjaro. Hivi nyinyi hamjui Kilimanjaro ipo Kenya?
Waache bana. Wanajitia hamnazo lakini wanajua vizuri kwamba Ml. Kilimanjaro ni mali ya Kenya.
Hiki tu ndio huwa kinanifanya niipende zaidi nchi yangu Tanzania kwa namna mlivyo obsessed with Tanzania that makes me feel proud to be a Tanzanian, I wonder vipi mtanzania ataipenda Kenya kwa kipi haswa?

Wenye wivu wajinyonge
 
Sasa kwa akili zako ipi sahihi, maana sasa hivi wapo wanaotokea Burundi, wanakatiza Burundi inaisha na kuingia Rwanda, wanakatiza Rwanda mpakani hadi mpakani na kuvuka hadi Uganda, wanakatiza Uganda mpakani hadi mpakani na kuingia Kenya, wanakatiza Kenya yote hadi Mombasa.... Yote haya wanafanya kwa sababu ya uzembe wenu, mumeshindwa kuwahudumia.

Sasa leo hao wamepunguziwa kilomita mia tano, tukiendelea poa hadi reli iishie Kigali, watakua wamepunguziwa safari yote.
Naona aibu
 
Back
Top Bottom