Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,589
Tayari tuna reli ya kisasa 480km Nairobi-Mombasa yenye miundo mbinu yote inayohitajika, kutakua na changamoto ndogo ndogo za teething problems, lakini nyie hata zege hamjaanza kukoroga kwa hako kasafu ka 200km, hamueleki eleweki.
SGR yetu imefanyiwa mahesabu na ita-break even kwa cargo tani milioni tano, kumbuka bandari yetu inashusha tani milioni 28 kwa mwaka.
Kuna miundo mbinu nyingi tu ambayo nikianza kushusha mahesabu yake hapa mtakaa.
Labda kwa mazingaumbwe ndio utaona break even. Mchina anahagaika kujaribu kuona pesa yake haipoteo kwenye hiyo reli huku waganda wanapindasha kona kuja Tanzania, Kweli break even inakuja.