Deni la Taifa kufikia trilioni 91, nchi imekaribia kuuzwa?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema hadi kufikia March 2024, deni la Serikali lilikuwa shilingi bilioni 91,708.3 (Tsh. trilioni 91.7) ikilinganishwa na shilingi bilioni 77,010.4 (Tsh. trilioni 77.) katika kipindi kama hicho mwaka 2023, sawa na ongezeko la asilimia 19.1.

Akitoa hotuba ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2023, Bungeni Jijini Dodoma leo June 13,2024, Mkumbo amesema “deni la ndani lilikuwa shilingi bilioni 30,753.8 na deni la nje lilikuwa shilingi bilioni 60,954.5”

Itakumbukwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere, wakati akiwasilisha ripoti kuu kwa mwaka wa fedha 2022/2023 kwa Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu Chamwino Dodoma March 28,2024 moja ya aliyoyazungumzia ni deni la Serikali ambapo alisema hadi kufikia June 30,2023 deni la Serikali lilikuwa Tsh. trilioni 82.25 sawa na ongezeko la 15% kutoka Tsh.trilioni 71.31 kwa mwaka 2021/2022, deni hilo lilijumuisha deni la ndani Tsh. trilioni 28.92 na deni la nje Tsh. trilioni 53.32”
 
Nchi yetu hata haiko kwenye list ya nchi 30 zenye madeni makubwa Africa

Kwa hiyo watanzania wa mitandaoni punguzeni midomo mirefu, lazima nchi ikope ili tufanye shughuli za kimaendeleo kwa ufanisi
 
Deni ni stahimilivu na kulinganisha na nchi nyingine deni letu si kubwa - alisikika kiongozi mmoja
 
🙄🤔
 
Mikopo yenyewe wala hatuoni ufanisi wake, labda kujaza mitumbo yao tuu!.
 
Nchi yetu hata haiko kwenye list ya nchi 30 zenye madeni makubwa Africa

Kwa hiyo watanzania wa mitandaoni punguzeni midomo mirefu, lazima nchi ikope ili tufanye shughuli za kimaendeleo kwa ufanisi
🤐🤭😱
 
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema hadi kufikia March 2024, deni la Serikali lilikuwa shilingi bilioni 91,708.3 (Tsh. trilioni 91.7) ikilinganishwa na shilingi bilioni 77,010.4 (Tsh. trilioni 77.) katika kipindi kama hicho mwaka 2023, sawa na ongezeko la asilimia 19.1.

Akitoa hotuba ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2023, Bungeni Jijini Dodoma leo June 13,2024, Mkumbo amesema “deni la ndani lilikuwa shilingi bilioni 30,753.8 na deni la nje lilikuwa shilingi bilioni 60,954.5”

Itakumbukwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere, wakati akiwasilisha ripoti kuu kwa mwaka wa fedha 2022/2023 kwa Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu Chamwino Dodoma March 28,2024 moja ya aliyoyazungumzia ni deni la Serikali ambapo alisema hadi kufikia June 30,2023 deni la Serikali lilikuwa Tsh. trilioni 82.25 sawa na ongezeko la 15% kutoka Tsh.trilioni 71.31 kwa mwaka 2021/2022, deni hilo lilijumuisha deni la ndani Tsh. trilioni 28.92 na deni la nje Tsh. trilioni 53.32”
Kwani GDP ni kiasi gani kwa Sasa?
 
Kasome kitu kinachoitwa Petrodollar,mkataba wa miaka 50 kati ya Saudi Arabia na USA. Utaelewa makaratasi ni muhimu
Huwezi kuuzwa labda uchumi kushuka ila sio kuuzwa, kuuzwa ni kukubali ukoloni karne ya 21.

Hamna kitu kuuzwa hata siku moja .
 
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema hadi kufikia March 2024, deni la Serikali lilikuwa shilingi bilioni 91,708.3 (Tsh. trilioni 91.7) ikilinganishwa na shilingi bilioni 77,010.4 (Tsh. trilioni 77.) katika kipindi kama hicho mwaka 2023, sawa na ongezeko la asilimia 19.1.

Akitoa hotuba ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2023, Bungeni Jijini Dodoma leo June 13,2024, Mkumbo amesema “deni la ndani lilikuwa shilingi bilioni 30,753.8 na deni la nje lilikuwa shilingi bilioni 60,954.5”

Itakumbukwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere, wakati akiwasilisha ripoti kuu kwa mwaka wa fedha 2022/2023 kwa Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu Chamwino Dodoma March 28,2024 moja ya aliyoyazungumzia ni deni la Serikali ambapo alisema hadi kufikia June 30,2023 deni la Serikali lilikuwa Tsh. trilioni 82.25 sawa na ongezeko la 15% kutoka Tsh.trilioni 71.31 kwa mwaka 2021/2022, deni hilo lilijumuisha deni la ndani Tsh. trilioni 28.92 na deni la nje Tsh. trilioni 53.32”
Wacha ujinga wako.Ukubwa wa deni unaendana na Ukubwa wa Uchumi.

View: https://www.instagram.com/reel/C8JqLrKsUNI/?igsh=cGlic3Q0cnc0NmJu

Deni la Japan,Marekani,Angola,Kenya nk ni kubwa kushinda Chumi zao,wameuzwa na nani?

Mwisho ila nyumbu mnachekesha ,nyie si Huwa mnasema Serikali imepika takwimu Kwa hiyo hizi za deni mnaziamini 😂😂
 
Back
Top Bottom