Deni la Taifa kufikia trilioni 91, nchi imekaribia kuuzwa?

Debt is like any other trap, easy enough to get into, but hard enough to get out of.Some debts are fun when you are acquiring them, but none are fun when you set about retiring them.

Wars in old times were made to get slaves. The modern implement of imposing slavery is debt.
 
Nadhani mpk dak hii Muhimbili nayo ipo sokoni, maza siyo wa mchezo mchezo
 
UWT hawatakuelewa mkuu
 
Tiyari
 
Maswala yanayotakiwa kuelezewa na waziri wa fedha yanaongelewa na waziri wa mipango.

Mkopaji waziri, debt management office ipo ndani ya wizara ya fedha, BoT ipo chini ya wizara ya fedha, wataalamu wa fedha wapo wizara ya fedha, banks zipo chini ya fedha, tarakimu za uchumi zinakusanywa na waziri wa fedha.

What business waziri wa mipango aliyonayo kuongelea hayo mambo. Haya akiulizwa kwanini serikali inakubali mikopo ya floating given the currency na interest; yeye atajibu nini wakati hajui lolote kuhusu terms za hiyo mikopo.

Talk of banana republic, mnaenda anzisha wizara halafu hawajui waipe majukumu gani matokeo yake ndio hayo overlapping ya shughuli za wizara nyingine.
 
Hata mimi nimeshangaa
 
Nchi yetu hata haiko kwenye list ya nchi 30 zenye madeni makubwa Africa

Kwa hiyo watanzania wa mitandaoni punguzeni midomo mirefu, lazima nchi ikope ili tufanye shughuli za kimaendeleo kwa ufanisi
ISSUE SIO UKUBWA WA DENI ILA NI APPLICABILITY YA AYO MADENI YANAYOKOPWA TUONGEENI UKWELI MTAANI HALI INAZIDI KUWA NGUMU PESA HAIONEKANI ILA WATU WACHACHE WANAJENGA MAJUMBA YA KIFAHARI NA KUNUNU MAGARI MAPYA YA BEI KUBWA!
 
Polojo tu umeongea
Fanya kaz kijana deni la taifa linalipwa kwa kufanya kazi sio siasa na polojo zako apa mtandaoni
 
CCM mbele kwa mbele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…