Deni la taifa kukua kwa kasi nini tafsiri yake

Deni la taifa kukua kwa kasi nini tafsiri yake

G-son

Member
Joined
Sep 5, 2008
Posts
68
Reaction score
17
Wana JF nimekuwa nikijiuliza swali moja kuhusu uchumi wa nchi yetu. Mara nyingi nimesikia kwenye vyombo vya habari kuwa deni la nchi linaongezeka kwa kasi. Nikirejea kwa wananchi wa kawaida pindi mtu anaposhindwa kulipa deni mara nyingi huuziwa baadhi ya vitu vyake (hasa visivyo hamishika kama shamba, vyumba n.k.) ili kufidia deni lote au angalau kiasi cha deni.

Sasa swali langu la msingi hapa ni NINI HATIMA YA DENI LA NCHI KUKUA? NA UKOMO WA DENI ILI TUSIKOPESHEKE NI KIASI GANI? NA JE NI NJIA GANI NCHI HUTUMIA KUPUNGUA MADENI YA NCHI?

NATANGULIZA SHUKURANU ZANGU ILI NIELIMISHWE
 
Kama mtu mmoja anapewa 3.6b ili ahujumu chama cha siasa unategemea nini..!?
 
Back
Top Bottom