hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Unafikiri nchi inafuata fasheni!?..likitokea ulaya nasi tufanye!?
Kweli haifati fashion, ndio maana viongozi wako wanatembelea Maguta na Baskeli za mbao na sio V8 na Maprado
Na ndio maana tunafunga treni ya umeme hatucopy ulaya, tunacopy kijijini kwenu