Unafikiri nchi inafuata fasheni!?..likitokea ulaya nasi tufanye!?
Tunachukua kile kinachoendana na mahitaji yetu,tuchukue umeme wa nyuklia wakati tuna nyerere dam na hatumalizi hata umeme tunazalisha Sasa hv,na bado tuna potential ya umeme safi wa upepoKweli haifati fashion, ndio maana viongozi wako wanatembelea Maguta na Baskeli za mbao na sio V8 na Maprado
Na ndio maana tunafunga treni ya umeme hatucopy ulaya, tunacopy kijijini kwenu
Tunachukua kile kinachoendana na mahitaji yetu,tuchukue umeme wa nyuklia wakati tuna nyerere dam na hatumalizi hata umeme tunazalisha Sasa hv,na bado tuna potential ya umeme safi wa upepo
Mkuu,nimeelewa hoja yako,shida hii nchi yetu haina vipaumbele.Mfano kwenye kilimo mpake sasa tunategemea mvua ya mwenyezi MUNGU,wakati nilipitaga kama sikosei MBARALI,kuna mashamba ya mwekezaji hategemei mvuaBarabara miaka 30? mikopo mingapi mikubwa ya barabara? Au tunataka kujenga Africa mzima?
Kama ni hivyo basi mpaka tunafika miaka ya Uhuru kama ya marekani still tutakuwa tunajenga barabara
Mkuu,nimeelewa hoja yako,shida hii nchi yetu haina vipaumbele.Mfano kwenye kilimo mpake sasa tunategemea mvua ya mwenyezi MUNGU,wakati nilipitaga kama sikosei MBAR
Miundombinu sio shida sana Kwa marekaniSisi madeni makubwa na yanayokopewa ni Yale yale miaka yote ndio shida
Mkopo wa madarasa since awamu ya 4
Mkopo wa barabara since jk
Mkopo wa Afya since jk
Sasa hao US uwez kukuta miaka yote wanakopa Kwa ajili ya Miundombinu na elimu Tu
Kukopa sio ishu, ishu ni mkopo unafanyia nn?
Linganisha deni walilikonalo dhidi ya gdp yao kisha linganisha leo na gdp yetu.Kuwa na madeni ya mikopo ni jambo la kawaida sana kwa maendeleo ya mwananchi au taifa lo lote hapa duniani. Msikilize hapa seneta wa USA anavyoelezea ukubwa wa deni la mikopo ya taifa hilo kubwa ulimwenguni.