Deni la Taifa limefikia Tril 107 lakini hali ya maisha ya watanzania wa hali yanazidi kuwa mabaya.

Deni la Taifa limefikia Tril 107 lakini hali ya maisha ya watanzania wa hali yanazidi kuwa mabaya.

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Hii inaleta tafsiri gani?

Mbona hizo pesa nyingi zinazokopwa mbona hazileti mzunguko wa pesa mitaani ili kusisimua uchumi wa taifa.

Tembelea biashara za mama ntilie, wafanyabiashara wadogo wadogo , kwenye mabaa na vilabu vya pombe za kienyeji hali ni ngumu.

Hii dhahiri kuwa tunakopa matrilion ya pesa lakini hayana impact kubwa kiuchumi.
 
Samia na mafisadi wenzake na familia yake Abdul, Mwanu na wale wengine wanaishi maisha ya fahari sana wakati wananchi wanaoibiwa mali zao wakiishi kwa shida sana.
 
Usijali Madelu alisema hatutafuatwa majumbani mwetu kudaiwa.

Alisema hili deni halituhusu.
 
Usijali Madelu alisema hatutaguatwa majumbani mwetu kudaiwa.

Alisema hili deni halituhusu.
Madelu kwani ana akili huyo? Mshari na mgomvi sijui ametoa wapi hiyo akili? Anamshukuru rais kwa kuwa mnyiramba wa kwanza saini yake kuwa kwenye noti.....Kweli ushamba mzigo! Vipi akina Cleopa David Msuya waliokuwa na saini kwenye noti kwa miaka nenda rudi? Huyo paka ana shida sana.
 
Hivi Rais Mkapa alifanyaje kukuza uchumi, kufuta kodi ya kichwa, baiskeli, mikokoteni, leseni za biashara?
Hawa Ma-Rais wengine kwa nini wabashindwa kufanya hivyo,?
 
Tulia ulipe Deni la taifa wewe na utalilipa tu, kwanzia leo hakikisha unaamka mapema kwenda kufanya kazi viwandani ili uanze kulipa deni lako taratibu
 
Back
Top Bottom