Mkuu,Nataka nilipe share yangu katika Deni la Taifa nisidaiwe tena
Mkuu,
Share yako ni just averaged!!
Tuseme mfano watu watano mkidaiwa Tshs 1,000/- ni sawa na kusema kila mmoja anadaiwa Tshs 200/-.
Sasa wewe ukilipa hiyo Tshs 200/- Haina maana wale wanne waliobaki ndio wadaiwe nao Tshs 200/-, Bali nyinyi watano wote mtaendelea kudaiwa Tshs 800/- ila sasa kwa kila mmoja mtadaiwa Tshs 800 ÷ 5 = Tshs 160,000/-.
Kwa hiyo we lipa tu, ila huchomoki hapa!!
Wahasibu tunapenda kutaja figures kubwa kwa kukata sifuri tatu, but final answer ndio tunaandikaga correct!!Ndio mwalimu wako alivyokufundisha 800/5 =(160,000)