Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Namuunga mkono mama Samia katika kufungua uchumi na kuingiza mitaji ya kibiashara pzmoja na kuruhusu uwekezaji kutoka nje na ndani ya nchi.
Lakini mimi si chawa, na kila hatua mbele lazama iwe na tafskuri ya mustakabali wa yale watanzania tunayotegemea miska ya mbeleni.
Wazungu, waarabu si wajomba zetu. Hawamjui Asumani , Ashura wala Kulwa wa mitaani na mikoani.
Muwekezaji anaweka hela yske ili imzalishie kwa faida kubwa, full stop.
Kuna uwekezaji ambao utalifanya Taifa kuingia katika National Bondage- Ukoloni wa kiuchumi.
Nimeweka scenario hizi mbili juu ya mikopo tunayoichukua na uwekezaji tunaoupata.
Tuchukue tahadhari.