Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
Muktasari:
Hadi Machi 2024, deni la Taifa linalodhaminiwa na SMZ limefikia Sh1.105 trilioni.
Deni la Taifa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar lafikia Sh1.105 trilioni
Tofauti ya nchi na state ni niniZanzibar sio nchi mkuu.
Ile ni State.
Hakuna sehemu unaweza ukathibitisha kwamba Zanzibar ni nchi.
Kama ipo basi naomba unipe elimu nitajifunza.
Muungano wa bumping.Ukipigwa kwa nguvu unaenda kufia mbali.Huu muungano kwakwel hauna muunganiko
Countries are the largest political units with their own governments, while states are smaller divisions within a country.Tofauti ya nchi na state ni nini
Mkuu,tuisheni ya "kingleza" haukutulipia ada.Hebu andika kwa Kiswahili tu.Shukria.Countries are the largest political units with their own governments, while states are smaller divisions within a country.
🤣🤣🤣🤣Mkuu,tuisheni ya "kingleza" haukutulipia ada.Hebu andika kwa Kiswahili tu.Shukria.