deni la tanzania

The Roman Catholic Diocese of Saint-Denis de La Réunion (Latin: Dioecesis Sancti Dionysii Reunionis; French: Diocèse de Saint-Denis de La Réunion) is a diocese of the Catholic Church located on the island of Réunion.
It is immediately subject to the Holy See. As such, it is not part of an ecclesiastical province, but is a member of the Episcopal Conference of the Indian Ocean (with Comoros, Mauritius and Seychelles). The cathedral church of the diocese is the Cathedral of Saint-Denis (French: Cathédrale de Saint-Denis de La Réunion) located in Saint-Denis.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Deni la Tanzania liko katika wastani mzuri wa takribani 47% ya GDP, ukilinganisha na Kenya (70%), Rwanda (75%), Uganda (60%) na Ghana (90%) - Kafulila

    Kafulila Atoa Wito wa Kutumia PPPs ili kuzuia kuongezeka kwa Deni la Taifa Arusha TICD, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia (PPP) nchini Tanzania, David Kafulila, amesema kuwa deni la Taifa la Tanzania bado liko katika kiwango cha wastani ukilinganisha na nchi zinazotuzunguka, lakini...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Deni la Tanzania sasa lapita la Kenya, ni la tatu Afrika

    Kwa mujibu wa Mfuko wa Fedha Duniani, IMF, DENI laTanzania limelipiku like LA Kenya na kushika nafasi ya TATU barani Afrika, baada ya Nigeria na Ethiopia. Tanzania SASA inadaiwa dola bilioni 14.4 wakati la Kenya limerudi nyuma na kufikia dola dilioni 13.2 Hii ni baada ya Kenya kufululiza...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Wakati Samia akisema Deni la Tanzania ni Sitahimilivu, Namibia wamaliza deni lao

    Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola za Kimarekani milioni 23.9, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuimarisha...
  4. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Deni la tanzania ukilinganisha na nchi nyingine za afrika mashariki

    Hivi sasa Tanzania imaeanza mchakato wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania mwezi oktoba 2025 hivi majuzi Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha mapinduzi (CCM)na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amesema kuwa deni la Tanzania mpaka kufikia 2024 ndilo deni...
  5. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa ni deni la Tanzania sio Zanzibar!.

    .. Ukweli Ni Kwamba Deni La Taifa,ni deni la kinachoitw Tanzania,kwa Muktadha wa deni la Taifa la Tanzania, Ikumbukwe Zanzibar wana Deni lao kama Zanzibar mwaka jana lilikuwa Trillion moja tu Hivi karibun CAG wa Zanzibar watasoma report ya Zanzibar na Wazanzibar kuhusu deni lao la Taifa La nchi...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Deni la Tanzania ukilinganisha na Mataifa mengine ya bara la Africa ni nafuu

    == Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila amesema serikali inavuta mitaji kutoka sekta binafsi kwasababu kodi na mikopo hayatoshi kufikia matarajio ya wananchi. Katika mazungumzo maalum na The Chanzo Machi 29,2025, Kafulila amesema deni la...
  7. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Deni la Zanzibar ladhaminiwa kwa 73% na Tanzania

    Mwenendo wa deni la Zanzibar 2017/18 - Bilioni 472.5 2018/19 - Bilioni 806.8 2019/20- Bilioni 824.5 2020/21 - Bilioni 887 2021/22 - Trilioni 1.2 https://t.co/YuSI0usKt4 Hawa watu sisi ndio twawadhamini ila wanatuletea kiburi na jeuri. Na hapo bado sisi twawapa zaidi ya Asilimia 4 kwenye...
Back
Top Bottom