figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola za Kimarekani milioni 23.9, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuimarisha uchumi wa taifa hilo.
Samia anajisifia kwamba Nchi inakopesheka. Ndo sifa kubwa anayoona si kupunguza deni
Kufikia Juni 30, 2025, deni la taifa la Tanzania lilifikia Shilingi trilioni 110.05. Ripoti ya CAG ya Machi 30, 2026, ilibainisha ongezeko la 13% (Trilioni 12.7) ndani ya mwaka mmoja, likichangiwa na mikopo ya nje (Tsh. trilioni 74.55) na ndani (Tsh. trilioni 35.5), huku ikitajwa kuwa bado ni himilivu. Eti ni Kijideni🤣🤣🤣
My take;
Samia anataka aache ameiharibu sifa ya Tanzania kisha arudi kwao Oman