Wakati Samia akisema Deni la Tanzania ni Sitahimilivu, Namibia wamaliza deni lao

Wakati Samia akisema Deni la Tanzania ni Sitahimilivu, Namibia wamaliza deni lao

Unaposema Namibia wamemaliza deni lao, unakuwa unadanganya. Namibia wamemaliza deni lao la IMF ila kiujumla bado wana deni la dola bilioni 10.
Population ya Namibia ni 3 million na population ya Tanzania ni 70 million. Kwa watu milioni 3 kudaiwa bilioni 10, siyo jambo la kusifiwa, hata watanzania kudaiwa dola bilioni 43 siyo jambo zuri. Lakini usipende kudandia treni kwa mbele, hizi nchi zote bado zina madeni makubwa japo bado stahamilivu.
Hoja ni kwamba wamelipa deni lao lote la IMF , Tuonyeshe wewe wapi Tanzania wamelipa deni lao lote hata la benki kuu ya Africa tu hapo , 🤣🤣🤣

Tangu na zaliwa till today nasikia Nchi Ina daiwa tu na Kila kukicha deni kinazidi kuchanja mbuga , inapotokea ukasikia Kuna Nchi imelipa deni lao lote hata kama ni la IMF kwanini tusiwapongeze !?
 
Huko
Kama kuna muda TISS kujiongeza ndio sasa.....wajitafakari kuendeshwa na chama na vilaza wa mtandao.....ile dhana nchi kwanza iko wapi ? Sasa mtu kwanza......ataesemwa na mwenyekiti ....all think tankers wamepotezwa na mtandao ......sasa wajitoe kusimamia katiba mpya kwa maslahi nchi sio chama wala kikundi chavwatu......ili nchi iweze kuweka misinginimara huu ujingavwatu wezi wachache RA na JK ni hatari sana ......ikiwezekana JK aliwe kichwa kwa maslahi mapana ya nchi......
TISS kwenyewe ndio kumejaa vilaza kama kungekuwa hakuna vilaza wasingeruhusu Nchi kutawalia na hao unaowaita vilaza and wana mtandao ,

Kama wangekuwa sio vilaza wasingeruhusu mwenda zake awe assassinated
 
Ni nchi tatu tu duniani ambazo hazina madeni kabisa.

Namibia haimo.
 
Hoja ni kwamba wamelipa deni lao lote la IMF , Tuonyeshe wewe wapi Tanzania wamelipa deni lao lote hata la benki kuu ya Africa tu hapo , 🤣🤣🤣

Tangu na zaliwa till today nasikia Nchi Ina daiwa tu na Kila kukicha deni kinazidi kuchanja mbuga , inapotokea ukasikia Kuna Nchi imelipa deni lao lote hata kama ni la IMF kwanini tusiwapongeze !?
Umeisoma heading?
Heading na maelezo yanakufanya uone kuwa deni la Nmibia lote limelipwa. Bila kusoma zaidi kwenye sources nyingine, utaishia hapo.
Hiyo si kweli, na hamna cha ajabu mbona deni lote la Equatorial Guinea ni 4.6B$ na population ndogo zaidi ya Namibia with the same GDP?
Tatizo ni deni la taifa au deni la taifa kwa IMF? Mbona Marekani ina deni kubwa sana? Lakini linalipika, kwa hiyo ndio utembee kwa miguu kisa huna milioni 30, lakini unaweza kulipa laki 6 kwa mwezi kwa ajili ya gari? Lipa laki 6 uongeze ufanisi.
Jamani ushabiki maandazi ukizidi, unapoteza sense .
 
Mbona unajihami? Nani kakuambia ni news?
Its all over media streams;

Kumbe ujinga ujinga tu;

Ni nchi tatu tu Duniani ambazo ni debt free ; yaani hazina madeni popote.

Namibia haipo.
 
Back
Top Bottom