Kwa mujibu wa Mfuko wa Fedha Duniani, IMF, DENI laTanzania limelipiku like LA Kenya na kushika nafasi ya TATU barani Afrika, baada ya Nigeria na Ethiopia.
Tanzania SASA inadaiwa dola bilioni 14.4 wakati la Kenya limerudi nyuma na kufikia dola dilioni 13.2
Hii ni baada ya Kenya kufululiza malipo hivi karibuni na kupunguza kiasi kikubwa cha DENI. Nchi ya Tano kwa DENI kubwa zaidi barani Afrika ni Ghana inayodaiwa dola bilioni 7.4
Hili ni DENI LA Mfuko wa Duniani pekee. Inafahamika katika kipindi cha marehemu Magufuli alikopa zaidi katika benki za biashara baada ya kuwekewa ngumu na mataifa ya Ulaya kwa kile walichokiita 'ubanaji wa Demokrasia'.
source: Business Insider, Africa