Deni la Tanzania sasa lapita la Kenya, ni la tatu Afrika

Deni la Tanzania sasa lapita la Kenya, ni la tatu Afrika

usishahu rostamu anajenga kiwanda kenya mombasa thamani ni >130 million usd, kaipata wapi? mwingine mwarabu imewekwa hapa jf ananunua ktk oryx 250 million usd, mwarabu mwingine mofat kachukuwa mabasi yaliyonunuliwa na serikali kwa mkopo kafanya yake na hayo ndiyo tunayoyajua kuna mengi hatuyasikii.

hivyi serikali inakopa lkn hatuoni inachokopea.

a picture speaks a thousands words …
View attachment 3595704
Tafuta hela *** wewe,Babu zake rostam walitafuta hela kwa miaka 150+,1997 nimefanya kazi kampuni ya rostam CASPIAN mgodini
Babu zako walipovuna sana waliongeza wake na ulevi
kwa hiyo kama umefanya kazi kampuni ya rostamu ndiyo inabadilisha nini? serikali inakopa inampa rostamu anakwenda kujenga kenya badala ya tanzagiza ingawaje fedha ni za tanzagiza, thats evil …
Lini rostam alipewa hela akawekeze Kenya!?..tibu bawasiri Hilo linalokuwasha
 
Kwa mujibu wa Mfuko wa Fedha Duniani, IMF, DENI laTanzania limelipiku like LA Kenya na kushika nafasi ya TATU barani Afrika, baada ya Nigeria na Ethiopia.

Tanzania SASA inadaiwa dola bilioni 14.4 wakati la Kenya limerudi nyuma na kufikia dola dilioni 13.2
Hii ni baada ya Kenya kufululiza malipo hivi karibuni na kupunguza kiasi kikubwa cha DENI. Nchi ya Tano kwa DENI kubwa zaidi barani Afrika ni Ghana inayodaiwa dola bilioni 7.4

Hili ni DENI LA Mfuko wa Duniani pekee. Inafahamika katika kipindi cha marehemu Magufuli alikopa zaidi katika benki za biashara baada ya kuwekewa ngumu na mataifa ya Ulaya kwa kile walichokiita 'ubanaji wa Demokrasia'.

source: Business Insider, Africa
Sasaa hivi viongozi Hawaibi tena bali wanasonsomola
 
Una uhakika:

Egypt leads the list with $9.45 billion in IMF credit, followed by Kenya with $3.02 billion, Angola with $2.99 billion, Ghana with $2.25 billion, and Ivory Coast with $2.19 billion. Others are the Democratic Republic of the Congo, Ethiopia, South Africa, Cameroon, and Senegal.24 Apr 2026
Sijui umechukua takwimu za mwaka gani! Tanzania iliposhindwa kulipa DENI katika kipindi cha Mkapa, DENI lilikuwa dola bilioni 7 na ilishindwa kulipa hadi kuomba clab ya Paris tusamehewe. Hivi sasa DENI ni mara mbili ya like, na wala hakuna maendeleo yoyote ya uchumi wenyewe...sijui tutalipa kwa hela zipi.
Nilishauri wakati Fulani walipopata mkupuo wa dola bilioni 2 Msaada ghafla wa nafuu kutoka Korea, kuwa watumie bilioni 1 kulipa madeni hasa Yale waliyoyakopa kwa gharama kubwa- commercial loans, wakaniona mjinga. Zile zimeliwa bila ya kujulikana zimefanya nini. Waulizeni.
Kwa kukusahihisha, nadhani hesabu zako umeziokota jaani! Eti Kenya inadaiwa bil 3! In fact, takwimu nilizokupa ni za DENI LA IMF pekee. DENI kamili la Tanzania LA nje na ndani ni dola bilioni 50. (Shilingi trilioni 112)...na linazidi kila dakika. Lile LA Kenya ni dola bilioni 92, Uganda $ bi 35, Rwanda $ B 10
Tofauti kubwa- na siye ni kwamba wengine wote wanaona wadaiwa mno, wanazungumzia wasiwasi wao. Lakini sisi tumeshikilia 'twakopesheka'. Ukiongozwa na wapumbavu hutaki dalili ya ujinga!
Ni kweli Misri, Algeria, Morocco...zinadaiwa zaidi lakini 1- nchi hizo zina uchumi mkubwa wa kuweza kulipa, zina viwanda, pia 2- Mara nyingi tunapozungumzia Africa huwa ni hii Afrika Kusini mwa jangwa LA Sahasa. Sisi hatuna uhusiano wa kiungo na nchi za Kiarabu. Zimetupita mbali na akili zao, hata kama Wana matatizo yao, ni afadhali kuliko sisi. Huo ndio ukweli. Si Mmisri ndiye aliyewajengea Bwawa LA Nyerere? Nitajie nchi nyingine ya Afrika nyeusi, Moja tu, inayoweza kufanya hivyo, NAMI nitakuonesha kuku mwenye miguu minne!
 
Mzanzibari anakopa bila woga wala hajui italipwa lini na nani akisubiri miaka yake iiishe huku Zanzibar ikineemka naye na mwanawe huenda wakaishia kwa Wajomba Oman au kwa Sultan Makhtoom Dubai.
Unakopaje kununua mashangingi ya tz shs 450 milions kila moja kwa maelfu kuwapa Rc Dc, Ded ,kila mkoa na wilaya achilia mbali kwenye mawizara huku kumuona daktari tuu kwenye hospital za serikali "unachangia" mpaka shs 35000.
 
Kwa mujibu wa Mfuko wa Fedha Duniani, IMF, DENI laTanzania limelipiku like LA Kenya na kushika nafasi ya TATU barani Afrika, baada ya Nigeria na Ethiopia.

Tanzania SASA inadaiwa dola bilioni 14.4 wakati la Kenya limerudi nyuma na kufikia dola dilioni 13.2
Hii ni baada ya Kenya kufululiza malipo hivi karibuni na kupunguza kiasi kikubwa cha DENI. Nchi ya Tano kwa DENI kubwa zaidi barani Afrika ni Ghana inayodaiwa dola bilioni 7.4

Hili ni DENI LA Mfuko wa Duniani pekee. Inafahamika katika kipindi cha marehemu Magufuli alikopa zaidi katika benki za biashara baada ya kuwekewa ngumu na mataifa ya Ulaya kwa kile walichokiita 'ubanaji wa Demokrasia'.

source: Business Insider, Africa
Kwa mwendo wa Binti Kiziwi Chura tutavunja rekodi ya dunia kwa deni kupaa kwa kasi ya Artemis II.
 
Gentleman,
pamoja na hayo bado deni la taifa la Tanzania ni himilivu na kwahivyo tunayo fursa ya kukopa zaidi kwaajili ya kufadhili miradi ya maendeleo ya wananchi pamoja na kusisimua uchumi wa taifa letu.

Na kwakua bado Tanzania inaaminika sana kwenye taasisi za fedha za kitaifa na kimataifa, hiyo inamaanisha kwamba kama taifa, uchumi wetu ni imara na bado tunakopesheka na tuna uwezo mzuri sana wa uhakika na madhubuti wa kulipa madeni yote.

hakuna haja ya kubabaika wala kuweweseka na porojo zinazolenga kuzua taharuki useless nchini 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Shida zinazoenda kwenye maendeleo nish ngapi vile na zinazokwibwa ni ngapi Kuna mchwa mahali
 
Mwenyewe Mh Rais alisema tulitaje kwa dola ili lisionekane kubwa
 
Tafuta hela *** wewe,Babu zake rostam walitafuta hela kwa miaka 150+,1997 nimefanya kazi kampuni ya rostam CASPIAN mgodini
Babu zako walipovuna sana waliongeza wake na ulevi

Lini rostam alipewa hela akawekeze Kenya!?..tibu bawasiri Hilo linalokuwasha
Bora wao waliongeza wake na ulevi kuliko hao kina Rostam kuiba kuua na kufisidi.
 
Back
Top Bottom