markp
Senior Member
- Sep 26, 2013
- 194
- 327
Deni la taifa limekuwa wimbo mpya hasa kwa ccm wenyewe na sasa sisi wapinzani wacha tuimbe chorus maana bila chorus nyimbo huwa hainogi.
Deni limefikia trilion 82 wakati watanzania kwa makadirio ya haraka ni milion 60. Ukipiga hesabu za haraka utagundua kila mtanzania anadaiwa trilion 1.3 na ushee.
Hivi kwa uzalishaji gani hasa wa pato la taifa tunaweza hata tu kupunguza hili deni.? LABDA MI SINA IMANI ILA KWA KUANGALIA TU HAIWEZEKANI KUPUNGUZA ILA KUZIDISHA DENI INAWEZEKANA KWA 100%
Juzi tbc 1 wamejidai kumwita mchambuzi wa maswala ya uchumi aelezee, jambo la ajabu anaulizwa maswali ya marekani na japani, badala ya kusema tunadaiwa sh ngapi na pato letu ngapi ili aweke uwiano tujue tulipo yeye ana justfy kosa kwa kosa au udhaifu kwa uongo wa udhaifu. Kuwa hata marekani na japan zinadaiwa ela nyingi. Ni kweli wanadaiwa ela nyingi ila pato lao hamkulitaja na misaada wanayotoa na mikopo wanayotoa hamkuitaja.
Tanzania tunakopa na tunazidi kukopa lakini kapato chetu kanatia huruma.
Wanasema mficha maradhi kifo humuumbua ccm endeleeni kuficha maradhi na kukataa mawazo ya wataalamu pamoja na wapinzani ila mjue kuwa kila mtanzania atateseka kwasababu ya hayo madeni awe tajiri au masikini.
MUDA SI MREFU CCM WENYEWE KWA WENYEWE WATATEKANA NA KUUANA KULIKO INAVYODHANIWA.
NA WEWE CHIEF WA WASUKUMA MUNGU ANAKUPA ISHARA JIREKEBISHE LA SIVYO UTAKATALIWA HATA NA SISIMIZI