Wana jamvi,
Kuna mchezo nauona takribani mwezi mzima sasa kwenye hii mitandao ya simu, yani wamewaunganisha wateja wotekwa lazima kwenye huduma ya VOICE MAIL endapo utampigia mtu simu kama imezimwa, au alipo hakuna network unapelekwa moja kwa moja kwenye hduma ya VOICE MAIL ambapo lazima unakatwa sio chini ya shilingi 50 na hapo naaamini sio watu wote wanaacha ujumbe wa sauti huishia kwenye kukata simu na inakua too late ushakatwa hivyo vijisenti sasa kwa mtaji huu kwa watanzania wanaomiliki simu wapo nadhani milioni 5 mpaka milioni 10.
Kwa wanaojua hesabu hapa 10,000,000x50tsh=500,000,000 na hii ni kama umepiga simu mara moja tu kwa siku.
Napenda kuuliza hawa TCRA wamewatuma hawa wenye makampuni ya simu kuiba hizi pesa kupeleka wapi, au kama wametumwa pesa za kampeni waseme tu, mi nashauri zikalipe deni la taifa, coz naamini kwa siku mtu mmoja anaweza kupiga simu na kukutana na VOICE MAIL hata mara tano.
Nadhani mkikokotoa hapo wanamahesabu mtapata jibu kwamba kwa siku ni minimum pesa ngapi hawa jamaa wanatukula
kwenye vocha.
Endapo nimetoa maelezo mengi na mapovu kibao mniwie radhi