Deni la taifa - TCRA watulipie

Deni la taifa - TCRA watulipie

kirikuu1

Member
Joined
May 11, 2012
Posts
71
Reaction score
19
Wana jamvi,

Kuna mchezo nauona takribani mwezi mzima sasa kwenye hii mitandao ya simu, yani wamewaunganisha wateja wotekwa lazima kwenye huduma ya
VOICE MAIL endapo utampigia mtu simu kama imezimwa, au alipo hakuna network unapelekwa moja kwa moja kwenye hduma ya VOICE MAIL ambapo lazima unakatwa sio chini ya shilingi 50 na hapo naaamini sio watu wote wanaacha ujumbe wa sauti huishia kwenye kukata simu na inakua too late ushakatwa hivyo vijisenti sasa kwa mtaji huu kwa watanzania wanaomiliki simu wapo nadhani milioni 5 mpaka milioni 10.

Kwa wanaojua hesabu hapa 10,000,000x50tsh=500,000,000 na hii ni kama umepiga simu mara moja tu kwa siku.

Napenda kuuliza hawa TCRA wamewatuma hawa wenye makampuni ya simu kuiba hizi pesa kupeleka wapi, au kama wametumwa pesa za kampeni waseme tu, mi nashauri zikalipe deni la taifa, coz naamini kwa siku mtu mmoja anaweza kupiga simu na kukutana na
VOICE MAIL hata mara tano.

Nadhani mkikokotoa hapo wanamahesabu mtapata
jibu kwamba kwa siku ni minimum pesa ngapi hawa jamaa wanatukula
kwenye vocha.

Endapo nimetoa maelezo mengi na mapovu kibao mniwie radhi
 
ni kweli kaka, hata mimi hayo yananikuta sana! Mpaka nilifkiri labda kuna huduma nimejiunga bila kujua kumbe ni mtaji wa watu? Ngoja tuwatolee uvivu kupitia website yao.
 
ni kweli kaka, hata mimi hayo yananikuta sana! Mpaka nilifkiri labda kuna huduma nimejiunga bila kujua kumbe ni mtaji wa watu? Ngoja tuwatolee uvivu kupitia website yao.
umeona eeh? yani kuna mpango nadhani labda ki-EPA kingine hichi
 
Last edited by a moderator:
http://www.tcra.go.tz/images/mwongozo.jpg Hii ndio njia ya kuwa silica malalamiko.

Mkuu una mpango gani wa kuwalazimisha hawa Star Times waboreshe huduma zao hasa kwenye ubora wa Picha! maana leo niliingia Duka la Freedom Electronic nilipata kigugumizi baada ya kuona Picha quality mbovu kwenye TV sikutia shaka kuuliza kulikoni TV L.E.D Kuonyesha Picha Mbovu kabisa Wakaniambia no! no! no! Usiogope Ndugu Mteja hicho ni Kingamuzi cha Star Times Kinavyotoa hiyo quality yenye Giza ndani yake! Nilishindwa kununua oi!

Hawa jamaa Star Times Kwa kuwa wamejua Africa ni bara la Watu Weusi ndio wameleta Vingamuzi vyenye Giza! na wamepania kupofusha macho ya Watanzania kwa decoder zao zenye kutoa mwenekano wa Ukungu. SIO SIRI mimi nikitizama TV kupitia Star Times macho lazima yaume!

Na hili Swali huwa unalikwepa sana why... ila kuna siku nilikusikia kwenye Radio uliulizwa ukajibu kwa hamaki sana kuwa kuna shirika la viwango lilivipitisha na viwango vinavyotakiwa Duniani Star Times wanavyo au mtu kama anabisha aende au alete vipimo vyake! damn!

au Ving'amuzi vya Star Times ni Digital Analojia?
 
Acha Noma hata mimi simu nyingi nakuta vm bila sababu huwa nakereka kukuta msg zisizo na mpango zinajaza tu nafasi na kunipotezea muda wa kuzifuta...

Sometime huwa najua msg imeingia kwa simu yangu kutoka kwa afrodenzi kumbe voice mail tena ya landline kutoka kwa Office

hahahahahahaahah Duduwasha hujambo mupenzii.. 🙂
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom