Nambukwa tulia vuta subira wadau watakuja kukusaidia.Salamu,
tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu.
Mie ni mwanafunzi nafanya utafiti kuhusu deni la taifa na kuongezeka kwa uchumi . tatizo ninalokutana nalo ni ukosefu wa data.
ombi, nahitaji data za deni la taifa pamoja na nyingine zinazohusiana nazo kama asilimia ya deni la taifa kwa mauzo ya bidhaa za nje.
ukinitumia data nitashukuru, ukinipa link nitashukuru pia.
NB: usinielekeze NBS niko mbali na jiji, na World bank data hawana taarifa ninazohitaji pamoja na Benki kuu ya Tanzania.
Nawatakia kheri katika ujenzi wa taifa.
s unfortunate I can not help on this. lakini akipitia taarifa mbalimbali kwenye website ya bunge letu,bot,tra,wizara ya fedha,magazeti n.k anaweza akapata anachokitaka.
asante ndugu , nataka kujua je hizi ni taarifa za siri?? maana zinatolewa nusunusu sana.
madeni ya taifa pesa nyingi zilitumika kujenga ukumbi wa mikutano chimwaga, ,kujenga ikulu ndogo chamwino,Salamu,
tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu.
Mie ni mwanafunzi nafanya utafiti kuhusu deni la taifa na kuongezeka kwa uchumi . tatizo ninalokutana nalo ni ukosefu wa data.
ombi, nahitaji data za deni la taifa pamoja na nyingine zinazohusiana nazo kama asilimia ya deni la taifa kwa mauzo ya bidhaa za nje.
ukinitumia data nitashukuru, ukinipa link nitashukuru pia.
NB: usinielekeze NBS niko mbali na jiji, na World bank data hawana taarifa ninazohitaji pamoja na Benki kuu ya Tanzania.
Nawatakia kheri katika ujenzi wa taifa.
Mkuu hekimatele,taarifa za deni la taifa zinapatikana sehemu nne tofauti katika nchi yetu nazo ni Bank of Tanzania (BOT),Wizara fedha [External Finance Department,Policy analysis Department and Public debt Department at Accountant's General Office ].TUKUTUKU can you help here?
Mkuu hekimatele,taarifa za deni la taifa zinapatikana sehemu nne tofauti katika nchi yetu nazo ni Bank of Tanzania (BOT),Wizara fedha [External Finance Department,Policy analysis Department and Public debt Department at Accountant's General Office ].
nimesoma, asante sana !! nahitaji data za miaka mingi zaidi ili nami nifanye analysis yangu, kama miaka thelathini hivi. nataka kuelewa taabu hii ilianzia wapi na lini?
nimesoma, asante sana !! nahitaji data za miaka mingi zaidi ili nami nifanye analysis yangu, kama miaka thelathini hivi. nataka kuelewa taabu hii ilianzia wapi na lini?