Deni la Wingereza (UK) ni kubwa kuliko Uchumi wa Nchi

livafan

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2016
Posts
2,955
Reaction score
5,616
Kansela Rishi sunak amesema, takwimu zinaonyesha kuwa hali imekuwa mbaya sana kwa uchumi wa taifa hilo kutokana na mripuko wa virusi vya corona.

Deni la taifa hilo kwa sasa lenye kiwango cha £1.95trn sawa na 5557.5trn za kitanzania, limezidi uchumi wa taifa kwa mara ya kwanza tangu 1963 , hii ni baada ya miaka zaidi ya hamsini (50) iliyopita

Kansela huyo ameshauri njia ya pekee iliyo sahihi kwa kurudisha uchumi imara wa taifa hilo ni kufungua shughuri zote za kiuchumi zitakazowafanya wananchi warudi makazini

Kansela huyo pia amenukuliwa akisema “ tumeshaweka mipango yetu ya kufungua uchumi wetu taratibu/polepole kwa kuzingatia njia zilizo salama zaidi, ikiwemo kufungua mitaa yetu inchi nzima kama hatua za kuanza kuponya majeraha ya uchumi wetu



Recodi pia zinaonesha kuwa , tofauti kati ya matumizi na mapato kwa miezi miwili tu ya budget ya mwaka (April na May mwaka huu) ni kubwa sana , ikiwa matumizi tu ni £103.7bn huku mapato kwa hiyo miezi ikiwa ni £87bn tu.

Ofisi ya takwimu ya taifa hilo ONS (the office for national statistcs) pia imesema wingereza ilikopa kiasi kikubwa cha feza kwa mwezi wa appril 2020 record ya mkopo mkubwa tangia 1963 hii ikotoka na juhudi za kupambana na virusi corona.

Source ; BBC


 
Waimalishe pia biashara na majirani zao wafanye kikao kidogo kiende fasta maana hali si hali..😅
 
Na usishangae kuona wakiendelea kutoa misada ikiwemo tz, what is behind these mission of serving developing countries !!
Misaada lazima watoe ili kutufumba macho na waendelee kutuibia zaidi. Kwa mfano Marekani walikuwa wanatoa misaada ya chandarua bure lakini wao waliingiza pesa nyingi sana kutuuzia umeme kutoka kwenye mitambo yao ya kufua umeme ya symbion. Mfano mwingine ni wa Japan huwa wanatoa misaada ya ujenzi wa baadhi ya barabara nchini wakati huo sisi tunawaingizia pesa nyingi zaidi za kigeni wakati tunapoagiza magari kutoka kwao na ndiyo maana asilimia 90 ya magari Tanzania ni kutoka Japan.
 
You have qouted a wrong person!

Sure , aim haikulenga what you replied but ilikuwa najaribu kupata hoja kamili kutoka kwa wadau ikiwemo ww ,yakwamba kwa nini hawa jamaa wafadhili miladi kadha wa kadha ktk inchi zinazoendelea wakati wao wenyewe uchumi wao kumbe bado ni tegemezi ?
 
Sure , aim haikulenga what you replied but ilikuwa najaribu kupata hoja kamili kutoka kwa wadau ikiwemo ww ,yakwamba kwa nini hawa jamaa wafadhili miladi kadha wa kadha ktk inchi zinazoendelea wakati wao wenyewe uchumi wao kumbe bado ni tegemezi ?
In a nutshell wanapata zaidi kuliko wanachotoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…