livafan
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 2,955
- 5,616
Kansela Rishi sunak amesema, takwimu zinaonyesha kuwa hali imekuwa mbaya sana kwa uchumi wa taifa hilo kutokana na mripuko wa virusi vya corona.
Deni la taifa hilo kwa sasa lenye kiwango cha £1.95trn sawa na 5557.5trn za kitanzania, limezidi uchumi wa taifa kwa mara ya kwanza tangu 1963 , hii ni baada ya miaka zaidi ya hamsini (50) iliyopita
Kansela huyo ameshauri njia ya pekee iliyo sahihi kwa kurudisha uchumi imara wa taifa hilo ni kufungua shughuri zote za kiuchumi zitakazowafanya wananchi warudi makazini
Kansela huyo pia amenukuliwa akisema “ tumeshaweka mipango yetu ya kufungua uchumi wetu taratibu/polepole kwa kuzingatia njia zilizo salama zaidi, ikiwemo kufungua mitaa yetu inchi nzima kama hatua za kuanza kuponya majeraha ya uchumi wetu
Recodi pia zinaonesha kuwa , tofauti kati ya matumizi na mapato kwa miezi miwili tu ya budget ya mwaka (April na May mwaka huu) ni kubwa sana , ikiwa matumizi tu ni £103.7bn huku mapato kwa hiyo miezi ikiwa ni £87bn tu.
Ofisi ya takwimu ya taifa hilo ONS (the office for national statistcs) pia imesema wingereza ilikopa kiasi kikubwa cha feza kwa mwezi wa appril 2020 record ya mkopo mkubwa tangia 1963 hii ikotoka na juhudi za kupambana na virusi corona.
Source ; BBC