Denilison left winger hatari (Kwenye kizazi cha Dhahabu cha Brazil)

World Cup ya 2002 ndio alivuma kwa kuwa super sub, anaingia dk za lala salama kwenda kupiga chenga na kupoteza muda hasa wakati timu yake ilipokuwa inaongoza!!
 
Huyo mpuuzi ata akikabwa na timu nzima, bado alikua anaomba pass apewe yeye

Na akipewa hamuuchukui mpira kizembe, mtapigwa vyenga na matobo na kujikuta mmetoa mpira wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…