Denilison left winger hatari (Kwenye kizazi cha Dhahabu cha Brazil)

Denilison left winger hatari (Kwenye kizazi cha Dhahabu cha Brazil)

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Huyu winger alikuwa anasepa na kijiji. Alikuwa winga hatari kwenye kizazi cha dhahabu cha Brazil.
Huku namba 10 akicheza Rovaldo, Mzee ilikuwa hatari. Ilikuwa Brazil kweli kweli.
IMG_20211231_103609.jpg
 
World Cup ya 2002 ndio alivuma kwa kuwa super sub, anaingia dk za lala salama kwenda kupiga chenga na kupoteza muda hasa wakati timu yake ilipokuwa inaongoza!!
 
Huyo mpuuzi ata akikabwa na timu nzima, bado alikua anaomba pass apewe yeye

Na akipewa hamuuchukui mpira kizembe, mtapigwa vyenga na matobo na kujikuta mmetoa mpira wenyewe
 
Back
Top Bottom