Denis Nkane, Supastaa mpya wa mpira Tanzania

Denis Nkane, Supastaa mpya wa mpira Tanzania

Kinumbo

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
3,039
Reaction score
5,560
Kabla ya yote namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia na kuniepusha dhidi ya usimba na uyanga. Mimi ni mpenzi michezo nafuatilia michezo mingi kwahiyo moja ya furaha yangu ni michezo.

Jana nilipata wasaa wa kutizama mchezo baina ya Taifa Jang'ombe dhidi ya Yanga mchezo ulikuwa mzuri sana ila kuna kijana anaitwa Nkane amenivutia sana. Huyo bwana mdogo ana sifa lukuki, nimependa uchezaji wake. Dogo ana nyumbulika ni hatari sana. Ila kuna baadhi ya mambo inabidi aweke sana naimani mwalimu ameyaona, ni jukumu lake kuyafanyia kazi pindi atakapo elekezwa.

Dogo akiendelea hiv hiv na akipunguza uswahili wetu naimani atafika mbali sana. Asante sana Yanga kwa kumpa nafasi.
 
Ni aibu Sana jina Lake kufanana na la kibu
Kibu anatakiwa kuchukua jina jingine.

Hata Bob Marley litamfaa au kibu mabange.
 
Nkane denis ni mzuri alikuaga biashara sema ndio ameenda kupotea utopoloni!
 
Nkane denis ni mzuri alikuaga biashara sema ndio ameenda kupotea utopoloni!
Jimmyson mwanuke hapo simba keshapotea, mwenda nae vipi? Kisubi? Ibrahim ame?.

Simba ni chuo cha kuua na kupoteza vipaji Tanzania.
 
Jimmyson mwanuke hapo simba keshapotea, mwenda nae vipi? Kisubi? Ibrahim ame?.

Simba ni chuo cha kuua na kupoteza vipaji Tanzania.
Waziri junior alikuwa mzuri sana ila mkaua kipaji chake!
 
Huu ndio unaitwa utahira Panda cheo na uache kuwa kuruta kupigia saluti wenzio kutwa kucha..

Hujui hata kama kombe la shirikisho tayari alicheza..!
Alifunga au alishawahi ku assist goal?

Hujui lolote hata saluti hujui maana yake[emoji23][emoji23][emoji23]

Nkane ni kipaji sawa ila bado kwa big games!
 
Back
Top Bottom